Mimi umri.Dini imenikosesha mke tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi umri.Dini imenikosesha mke tena.
Matatizo ya waziwazi 😂😂Kweli sijui ni nini? Ila kukosa wa kukuoa sijui uwe na matatizo gani ya wazi wazi. Wanaume waoaji wapo wamejaa tele.
Inawezekana anachagua sana. Atafanikiwa lkn
Itakuwa una kitu wanaume tunapenda.Siwatafutagi wanakuja tu
Hakuna mbinu yoyote hata nguvu hutumiiiWapatie MBINU ...
Hujaelezea maumbile yako ya nyuma. Trunker lipo au halipo? 😎😎😎Mimi ni kijana wa kike, umri wangu ni miaka 28. Mimi ni mkristo, nasali kanisa la KKKT, elimu yangu ni degree moja. Ni mweupe kiasi, sio mrefu wala sio mfupi. Natafuta mchumba ambaye natamani aje kuwa mume wangu. Awe na sifa zifuatazao.
1. Asiwe mrefu sana wala mfupi sana
2. Awe mkristo
3. Elimu iwe degree moja na kuendelea
4. Rangi yake awe maji ya kunde ya mweusi. Asiwe mweupe
5. Ajue kutafuta pesa
SijuiItakuwa una kitu wanaume tunapenda.
Sio wabahili tunajua kutumia pesa vizuri hela sio za kuchezea wewWanaume wa jf hawa wabahili [emoji2]
Dada Mshukuru Mungu amekupa kibali kuna mdada mwenzako anmaliza wiki nzima hajapata mwanaume wa kumwambia mambo, dunia ina mengi ya kustaajabishaKweli sijui ni nini? Ila kukosa wa kukuoa sijui uwe na matatizo gani ya wazi wazi. Wanaume waoaji wapo wamejaa tele.
Inawezekana anachagua sana. Atafanikiwa lkn
Lazima atakuwa naloUnatako..? Tuanzie hapo
Nijuwacho, masherti huwa yapo INVERSELY PROPORTIONAL na umri..!! Ipo siku yule anayepumua tu ndo atahitajika..!! Ukizingatia ukomo wa hedhi upo utakuja siku mojaMimi ni kijana wa kike, umri wangu ni miaka 28. Mimi ni mkristo, nasali kanisa la KKKT, elimu yangu ni degree moja. Ni mweupe kiasi, sio mrefu wala sio mfupi. Natafuta mchumba ambaye natamani aje kuwa mume wangu. Awe na sifa zifuatazao.
1. Asiwe mrefu sana wala mfupi sana
2. Awe mkristo
3. Elimu iwe degree moja na kuendelea
4. Rangi yake awe maji ya kunde ya mweusi. Asiwe mweupe
5. Ajue kutafuta pesa
Hasa wa la saba BWa la saba tupunguze hasira jamani
Yupo ambaye hana digrii hata moja na wala hajui kutafuta pesa, ila pesa inamtafuta yeye.3. Elimu iwe degree moja na kuendelea
5. Ajue kutafuta pesa
Asa mtu ataishije bila tako au una wengeUnatako..? Tuanzie hapo
Si kweli, kila mtu anahaki ya kuchagua mtu ampendae awe wa namna gani so sidhan kama ilikua na haja ya kumfokea hivo,Kwa ajili ya iko ki degree chako kimoja ......unareta malingo ya kuchagua chagua ngoja mvua inyeshe tuone panapo vuja.......utakuja kusema awe ana pumua Tu na mashine inasimama vizuri
Wowowo..!! Ngongingo..!!! Wezere..!!! Nyashi..!! Siyo makalioAsa mtu ataishije bila tako au una wenge
Haki ya kuchagua kwa wanawake siyo realistic ..!!! Umri unawakaba sana nyieSi kweli, kila mtu anahaki ya kuchagua mtu ampendae awe wa namna gani so sidhan kama ilikua na haja ya kumfokea hivo,
Kuwa sijui anamiaka mingi au midogo haimaniishi sasa ndo awe na machuguo yasio sahihi
Do not belittle her she deserve every good thing down earth 🙏🏽
Hata kamaHaki ya kuchagua kwa wanawake siyo realistic ..!!! Umri unawakaba sana nyie