Natafuta Mume wa kunioa

Natafuta Mume wa kunioa

Mimi ni kijana wa kike, umri wangu ni miaka 28. Mimi ni mkristo, nasali kanisa la KKKT, elimu yangu ni degree moja. Ni mweupe kiasi, sio mrefu wala sio mfupi. Natafuta mchumba ambaye natamani aje kuwa mume wangu. Awe na sifa zifuatazao.

1. Asiwe mrefu sana wala mfupi sana
2. Awe mkristo
3. Elimu iwe degree moja na kuendelea
4. Rangi yake awe maji ya kunde ya mweusi. Asiwe mweupe
5. Ajue kutafuta pesa
Kila lakheri lakini rekebisha vigezo, Mfano vigezo vya kukataa Mrefu na Mweupe naviona haviana maana kwakua binadamu hajiumbi so hawezi kuchagua kuwa mrefu au mfupi au maji ya kunde!
Aidha unapaswa kukumbuka kuna baadhi ya faida utazikosa kwa kumkataa mume mrefu mweupe, maana mkizaa mtoto wa kike akawa mrefu mweupe ni kete nzuri sana ya Urembo, akijakuolewa na Msukuma huyo mnavuna zizi la ng'ombe!
Kadhalika mkizaa mtoto wa kiume mrefu ni kigezo kizuri hata ajira za polisi na jeshi wanachukua sana warefu!
Kwa hiyo unaposet vigezo ni muhimu pia kufocus future ya familia yako!
 
Bora umesema.

Hawa malaika wa humu wanajifanya ujuaji mwingi..😏
Mbona umeondoa kenge na kuweka malaika? Sijapenda kwa kweli 😁😁😁🖐🖐🖐🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
 
Mimi ni kijana wa kike, umri wangu ni miaka 28. Mimi ni mkristo, nasali kanisa la KKKT, elimu yangu ni degree moja. Ni mweupe kiasi, sio mrefu wala sio mfupi. Natafuta mchumba ambaye natamani aje kuwa mume wangu. Awe na sifa zifuatazao.

1. Asiwe mrefu sana wala mfupi sana
2. Awe mkristo
3. Elimu iwe degree moja na kuendelea
4. Rangi yake awe maji ya kunde ya mweusi. Asiwe mweupe
5. Ajue kutafuta pesa
Id yako ya zaman ni ip
 
5. Ajue kutafuta p𝐞𝐬𝐚
𝐦𝐢𝐦𝐢 𝐧𝐢 𝐦𝐮𝐡𝐚 𝐩𝐮𝐫𝐞 𝐰𝐚 𝐤𝐢𝐠𝐨𝐦𝐚 𝐯𝐢𝐩 𝐮𝐭𝐚𝐤𝐮𝐛𝐚𝐫𝐢 𝐤𝐮𝐣𝐚 𝐤𝐮𝐢𝐬𝐡𝐢 𝐡𝐮𝐤𝐮 𝐜𝐡𝐚𝐧𝐤𝐚 𝐛𝐡𝐚𝐠𝐚𝐛𝐡𝐨 𝐧𝐝𝐚𝐧𝐢 𝐧𝐝𝐚𝐧𝐢 𝐦𝐩𝐚𝐤𝐚𝐧𝐢 𝐦𝐰𝐚 𝐓𝐳 𝐧𝐚 𝐁𝐮𝐫𝐮𝐧𝐝𝐢
 
Mimi najua kuitafuta pesa haswa, nishawahi poteza elfu mbili, wakati natoka kariakoo, nikatoka kuanzia mbagala kwa mguu naisaka elfu 2 yangu, nikaja kuipatia mtoni mtongani, niliangusha pale wakati nakula miwa [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wanaume punguzeni makasiriko ila kiukweli wanaume wengi hamjiamini mwanamke anapokua anakuzidi elimu na ndio sababu pia wanawake wengi wanataka wanaume wenye elimu kama zao. Kuishi na mtu mwenye inferiority complex ni kitu kigumu sana, Mkijiamini hivi shida itapungua.
 
Mimi ni kijana wa kike, umri wangu ni miaka 28. Mimi ni mkristo, nasali kanisa la KKKT, elimu yangu ni degree moja. Ni mweupe kiasi, sio mrefu wala sio mfupi. Natafuta mchumba ambaye natamani aje kuwa mume wangu. Awe na sifa zifuatazao.

1. Asiwe mrefu sana wala mfupi sana
2. Awe mkristo
3. Elimu iwe degree moja na kuendelea
4. Rangi yake awe maji ya kunde ya mweusi. Asiwe mweupe
5. Ajue kutafuta pesa
Umri?
Kabila?
Digree Gani?
 
Hii kitu sijawahi elewa. Yaani mimi na uzee huu nikitaka kuolewa kesho mume nampata kesho hiyo hiyo
Hawa wako selective sana, akisalimiwa anaringa wanatafuta mume tajiri
 
Back
Top Bottom