Natafuta mume

Nitafute inbox npo serious
 
Mtaa unaoishi hakuna wanamme ambao hawajaoa?

Kama wapo na wanakuona na hawaonyesha nia ya kukuoa (za kuambiwa changanya na zako)
 
Utampata tu mungu atakusaidia
 
 
ukiona hujapata kabisa nakukaribisha pm, vigezo ni hakuna kuku du mpaka tupime ukimwi na ndoa juu
 
Nashukuru nimepata mke, nakuomba tuongee
 
Sijui tuongee,maana kwa huu uhitaji wa mke nilio nao daaa!!
 
Kwahiyo umetumiwa weeee,sasa unatafuta wa kumletea makombo
 
Kuwa hapo ulipo wanaume hawapo na kama wapo kwanini wasikuoe? Ushauri jiangalie mienendo yako.unataka utuambie hio miaka yote hakuna wanaume waliokuwa wanataka kukuoa? Inamaana unamiaka 12 uliofatiliwa.kengele ya alarm inakuamusha umechelewa huo sio mda wa kuchagua mwanaume yoyote yule sema nashukuru Mungu.Samahani kama nimetumia maneno makali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…