Natafuta mume

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Walisusa sababu sijafungua pm
Hahaaa, una utani ujue kumbe pm kumefungwa sasa hizo negotiations mnafanyaje jamani. Umenishinda tabia mi nilikua nasubiria huku[emoji30]
 
kuna sifa zingine umezificha...hebu nidokezee..are u B.q.rwa
 
Hii dunia haijawahi kuwa na picha sawa katika maisha ya kila mmoja, Mie nampango wa kurudisha mtoto wa watu kwao nimeshindwa mambo ya ndoa. Daaah kila la kheri. Mie narudisha mwanamke kwao sina mpango tena wa kuoa labda nikivuka 30..31.. ndio nianze kupanga kuoa
 
Kwanini unamrudisha kwao??? Amekosea wapi? Unadhani ni sahihi kufanya hivyo? Je ulichaguliwa na mtu?
 
Duh, mzee baba hizi laana ulizonishushia sasa,!! Usiamini kila kitu jf, nyinyi ndo mnaotekwa kirahisi shauri yako
Sijakulaani mamaake nimekukumbusha tu kuwa wakati unafanya jambo lako uzingatie uwepo na umuhimu wa muumba maana akisema iwe inakuwa ila akisema isiwe haitakuwa Abadan!!!
 
Sijakulaani mamaake nimekukumbusha tu kuwa wakati unafanya jambo lako uzingatie uwepo na umuhimu wa muumba maana akisema iwe inakuwa ila akisema isiwe haitakuwa Abadan!!!
Okay
 
Fungua pm wewe au njoo pm kwangu, bahati itakupita hivi hivi
 
Umefanya modification kwenye ID. Nilikuwa naona hii ID iko very familiar ikabidi nifanye uchunguzi ndiyo nikapata uthibitisho,

Umefanya modification kwenye ID. Nilikuwa naona hii ID iko very familiar ikabidi nifanye uchunguzi ndiyo nikapata uthibitisho,
Hahahahahahahah jamani ndiwooo kaka nimefanya modification, maana iliwachanganya wengi
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…