Natafuta mume

Kumbe
 
Weka picha tusaminishe..

Je unamsabwanda au mbwa kala mbwa🤣🤣🤣 Shida yenu mnaotafuta wenza kwenye mitandao ya kijamii huwa mnakua na sura za baba na shepu kama fidodido🤣🤣🤣
 
😂Bas anatoka mzuri sana alafu sura Hailet ela ya unga nyumbani Wala hailipi ada yashule yawatoto😀😀
Aaah! hela sio ishu..Nafahamu nini maana ya utafutaji lkn tunapokuwa na mke mzuri hata moyoni huwa tunafarijika sana na upendo unazidi kila siku..Sasa shida mke akiwa na sura ngumu inakera kweli yani humuoni mzuri hadi upige tungi ndio unamuona mrembo🤣🤣🤣
 
😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaijua hii ID wa stendi juzi amekatiza somewhere humu akasema alipita kutuweka sawa kuwa wewe ni mwnaume..akanivuruga kidogo kwani kuna nini na hawa jamaa ni kama hawakuelewi🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…