General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Watu wanazeeka kutokana na matunzo si mazuri, lishe ya kunenepesha na stress za maisha.Halafu kweli. Maana kuzaa watoto wawili haraka haraka nako kunazeesha. Ngoja tuone kama atakubali offer yetu. Million 5 na hela ya matumizi si haba.
Hapo kwenye kifaransa itabidi baba watoto atupeleke course mapema kabla watoto hajawajaja
Wewe hujamwelewaa mleta mada,Dunia imejaaa maajabu, huyu MTU atakuwa agent wa MTU fulani tena.mzungu kama sikosei. Imagine MTU anapenda kitu kimoja kwako? Akupe mimba tuu?
Uzi huu umenikumbusha tukio Fulani ndipo nilipogungua akili za wanaume wotee ni sawa.
Iko hivi kuna Shoga yangu yeye anapenda sana kuolewa na wazungu, ktk zunguka akampaka mzungu yupo tiyari kwa ndoa, dah ila akashindwa kitu kimoja.
Huyo mzungu alimwambia anapenda wanawake wa kiafrika lakini kwenye kitu Fulani bila hicho no ndoa. kizuri cha wazungu wako open. Sasa Shoga yangu hicho kitu hana, na tumeshibana, so tunasimuliana na anajua hicho kitu ninacho mm, samahani siwezi kamwe kusema hapa.
Basi Shoga kaja kwangu kanambia kama Niko tiyari basi ampe mawasiliano yangu. Sikuwa na time na mahusiano so nilimwambia siko tiyari.
Baada ya hill tukio niliwaza nini maana ya love?? Yaan MTU apende kitu kimoja kutoka kwako na sio vingine kweli hapo kuna upendo? Maana bila hicho hakuna upendo? Hii dunia haiko fair.
Nikawaza Huyu mwanaume hicho kitu atakipata kivip? Mbona sio common kivile? Hapo ndipo nilisema shikamoo nguvu ya pesa. Ana kiburi cha pesa kutamka eti yeye anataka kitu Fulani kisa pesa bila upendo kama mleta mada.
Coz nijuavyo MTU apende vyote ulivyonavyo, akiona kucha, mikono miguu, kichwa chako macho, ongea yako vyote avipende sio kupenda kupenda kiungo cha mwili and that's all. Dah ee Mungu.
Exactly!!Mama kwa huyu mtoa mada hataki mapenzi yeye ni biashara ya mtoto halafu kila MTU na njia zake. Ingekua mapenzi asingeweka masharti yote hayo
Wewe ndo hujaelewa vizuri, kumbe mimba inaingia bila upendo? Inaweza isiingie miaka nenda rudi.Wewe hujamwelewaa mleta mada,
Yeye hataki habari za love na maujinga mengine.
Yeye anataka watoto wawili umzalie akulipe basi.
Tena bora huyu kaja wazi, hivyo ni wewe kuamua.
Sasa unaanza kuleta stori hazina kichwa wala miguu sijui nini huko.
Ma single maza kibao almost 80% hawapewi hata kumi ya matunzo ya mtoto na kuolewa haolewi sembuse 10m??
Wabongo tuache longolongo.
Nimekufundisha jambo ganiMtoa mada ,ume nifundisha jambo, hii ndo itakuwa tabia yangu
Advance unatoa sh ngapi?Habarin dada zangu wa mkoani na dsm natafuta mwanamke aliye tayari kuingia mkataba wa kunizalia watoto wawili tuu kwa malipo ya tsh 10 M matunzo na huduma nyingine nitatoa mimi mwenyewe wakati wote..Awe na sifa zifuatazo
1)Mweupe na mwembamba kiasi
2)Mrefu
3)Mwenye nidham na awe na uwezo wa kufanya maamuzi na kutumia akili kwa usahihi.
4)Awe na elimu ya kuanzia shahada na kuendelea awe anajua kuongea kwa usahihi lugha ya kingereza na kifaransa
Kama kuna aliyeko tayari aje inbox
We jamaa utaishi miaka 100+ kwa kuwa utakuwa hauna stress big up sana mkuu .Yeah hakika ni mpango wangu kwani chini ya jua mambo yote yanawezekana natumaini utakuwa hujalielewa tangazo vizuri
Unaweza kuthibitisha mkuu kwa kifungu chochote kwenye kitabu unachokiamini au hata chochote kilichosema hayo uliyoyasemaIla kwa hili dini haikubaliani nalo
Habarin dada zangu wa mkoani na dsm natafuta mwanamke aliye tayari kuingia mkataba wa kunizalia watoto wawili tuu kwa malipo ya tsh 10 M matunzo na huduma nyingine nitatoa mimi mwenyewe wakati wote..Awe na sifa zifuatazo
1)Mweupe na mwembamba kiasi
2)Mrefu
3)Mwenye nidham na awe na uwezo wa kufanya maamuzi na kutumia akili kwa usahihi.
4)Awe na elimu ya kuanzia shahada na kuendelea awe anajua kuongea kwa usahihi lugha ya kingereza na kifaransa
Kama kuna aliyeko tayari aje inbox
Kwann ukimbilie advance unataka upige advance usepe.... Wanawake wa bongo kwa logistic ni balaa.Advance unatoa sh ngapi?
Yaani project kama hii itakosa advance Mkuu? Itakuwa haiko fairKwann ukimbilie advance unataka upige advance usepe.... Wanawake wa bongo kwa logistic ni balaa.
Nimejikuta kucheka tu#Miss Natafuta#
Bora hata amzalie.Huwajui wanawake wa bongo wewe , Mil. 10 zako atapokea watoto atakuzalia na baada ya hapo atakung'ang'ania kama ngozi katika mwili
Akishindwa kwa Sangoma basi hata ikulu atakwenda peku ili aonekane ameonewa,kachanganyikiwa au kachizika,na bunge Zima + nchi italipuka kumtetea Muulize Sugu atakwambia
SawaMKATABA HAUITAJI HAYA MASHARTI YA AKILI ETC, HUU UTAPELI
Hata mshenga hutaki?
Njoo inbox kama unasifa tajwa hapo juuAdvance unatoa sh ngapi?