Natafuta mwanamke aliye tayari kuingia mkataba wa kunizalia watoto wawili

Habari za masiku mkuu, nilikumiss sana jukwaa hili kwani watu wa uhalisia walipungu. Umenena kweli hata wengine tuliambiwa kuwa wao wanatafuta watoto, mtoto alipopatikana anataka kupindua big house!
 
Hakuna mwanaume anapenda kila ulichonacho.
Kipo kilichomvutia zaidi.
Umbo lako
Ucheshi
Heshima
Makalio
Shingo
Mguu
Lips
Nk
 
Ndio hapo utawashangaa wanawake.
Mtu kaja na dili la kulipa hela na matunzo yote anatoa.
Bado wanalalamika kutaka kupendwa kila kiungo Chao.
Na wengine wameachiwa watoto na wahuni bila hata kumi na miili yao haikupendwa pia.
 
Hawa dada zetu ni furaha tosha.
Unafuatwa na mdada anakuambia anataka chata yako na mtoto atalea mwenyewe.
Kwao kuomba Hilo hakuna shida ila mwanaume kutaka watoto kwao awalee mwenyewe kinaonekana kituko.

Tena wao akishapata mimba anaanza kukusumbua mpaka utakoma.
Wakati huo alikuomba na kulia kabisa
 
Kuzaa its all risk... With all complications of lobour and delivery...then to give away my childrens for... for 10m??. Wonders shall never end.
 
Ndio hapo utawashangaa wanawake.
Mtu kaja na dili la kulipa hela na matunzo yote anatoa.
Bado wanalalamika kutaka kupendwa kila kiungo Chao.
Na wengine wameachiwa watoto na wahuni bila hata kumi na miili yao haikupendwa pia.
What is 10m by the way...kwamba unauza watoto wawili for that amount..Ni bora huyo single mother anamwona mwanae...
 
Bado tuko kwenye mchakato wa kuifanya Tz ya Viwonder
 
What is 10m by the way...kwamba unauza watoto wawili for that amount..Ni bora huyo single mother anamwona mwanae...
Amekuambia atawatunza.
Means wakifikia umri mkubwa ndio anaweza kuchagua kuishi nao.
Yeye hataki kuishi na mwanamke.
Labda hapendi usumbufu.
 
Kwa nyuzi kama hizi
ccm haitatoka madarakani kamwe.
 
Sasa watoto wawili wanapatikanaje mapacha? Na hyo 10 unatoa ndo ummimbe au unammimba kwanza zen 10 inafuata?
 
kweli hela tamu ila kuuza mtoto sio jambo dogo kama ulivyo maanisha kwa wanawake walio ingia labor watanielewa
 
Kwa nchi zilizoendelea hiyo ni biashara halali kabisa. Kuna watu wanaitwa surrogate mothers ndio wanafanyana hiyo biashara, mfano mzuri ni watoto mapacha wa Christian Ronaldo aliwapata kwa njia hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…