New member!Wewe ni m'binafsi, ndoa HAITAKI UBINAFSI
Wewe jamaa unazingua sanaNatafuta mwanamke ambaye ana allergies na nyama ili nikinunua niwe nakula mwenyewe
😂😂😂 dah tufanyie msaada basi, tunampata wapi mwanamke wa aina hiyo?Mimi na nyama ni hivi 🤞🏾🤞🏾 yaani napenda kupitiliza,,hata asinifikirie naweza kumla hata yeye
Nyama ziko za aina nyingi. Nyama zipi?Natafuta mwanamke ambaye ana allergies na nyama ili nikinunua niwe nakula mwenyewe
finyangeni udongo muumbe wenyewe 🤣🤣😂😂😂 dah tufanyie msaada basi, tunampata wapi mwanamke wa aina hiyo?
Udongo wa nini tena? Si sanamu sasa, labda robot la Elon muskfinyangeni udongo muumbe wenyewe 🤣🤣
Eeeeh nilisahau kumbe yapoUdongo wa nini tena? Si sanamu sasa, labda robot la Elon musk
🤔🤔🤔 Loh!finyangeni udongo muumbe wenyewe 🤣🤣
Hivi mmefunga wiki moja au mbili?Natafuta mwanamke ambaye ana allergies na nyama ili nikinunua niwe nakula mwenyewe
😃😃