Wewe tu ndio umenielewa kwa haraka 👍😀Watu wamechukulia seriously ila nadhani ni jokes.
Tafuta Rasta woman!
Unaonaje ukipata mwenye allergy na 💰💸
Yote haya ni madhara yatokanayo na CXMNatafuta mwanamke ambaye ana allergies na nyama ili nikinunua niwe nakula mwenyewe
Nina roho nzuri sana sema tu huqa sipendi kujisifiaAcha roho mbaya