Natafuta mwanamke ambaye ana allergies na nyama ili nikinunua niwe nakula mwenyewe

Upuuzi mtupu,, yaani unaombea na ku manifest kupata mwanamke mwenye tatizo ili iweje ??

Allergy hujui vzr,,
 
Ngoja waje kama wapo...
Mwenye allergy ta nyama- maana ya red meat, kuku na samaki anakula...


Cc: Mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…