Captain Fire
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 2,435
- 5,000
- Thread starter
- #301
Wanaume tukiweka msisitizo wa kuoa mabikra tu kwa hakika wanawake watajitunza sana, utasikia kuna wanawake wanasema "si nyinyi wanaume ndio mnatubikiri" sasa najiuliza kwani walibakwa? Si walishindwa kujua thamani zaoHakika utasikia bikra inasaidia nn
Wanamaneno ya kujifariji sana.