Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa

Hakika utasikia bikra inasaidia nn
Wanamaneno ya kujifariji sana.
Wanaume tukiweka msisitizo wa kuoa mabikra tu kwa hakika wanawake watajitunza sana, utasikia kuna wanawake wanasema "si nyinyi wanaume ndio mnatubikiri" sasa najiuliza kwani walibakwa? Si walishindwa kujua thamani zao
 
Wanaume hatutei maslahi yetu Ila tunaungana na wanawake kutetea maslahi ya wanawake.
Ndio Ile 50cent alisema when a woman is broke there are 100 men will be ready to fix her life Sasa njoo kwa mwanaume ukiwa broker utachekwa mpaka na wanaume wenzako kuwa tafuta pesa.
Wanawake ni trader wazuri mno wao wanajua wanachokitaka na Wana trade their low values with highest value from men.
They need anything higher than what the have eg age ,elimu, strength, height, earning, materials possession etc lazima wewe umzidi.

Akiwa na watt anatumia hisia ya huruma unashangaa dume linaingia kumpa kampani kwa kumhurumia.
Ila wao they're very strict hawataki hasara wanataka faida.
Sasa why tusiangalie miili yao iwe safi.
Why king mswati ni kula bikra tu unadhani wewe una akili kubwa kuliko yeye. Yaani jamaa Kila mwaka anavunja bikra na jamaa atakuja kuwa na Koo kubwa huko kwao wataendelea kutawala.
Jamani as a real man spiritually Mana real man isn't about physical possession of manly figures and features but rather spiritually.
Yule ambaye doesn't second guess to divorce msaliti wa k yake akaipeleka nje
 
Mimi nilishaweka msimamo wangu kua nikiwa na mwanamke kwenye mahusiano kama sio bikra basi ajue sitamuoa na nitaachana nae nikimpata bikra ambae nitamuoa na hilo swala uwa nawaambia kabisa mapema ili baadae wasinione mbaya
 
Kuzaa ni majaaliwa,je ukikuta ashiki ujauzito au mimba zinachoropoka tu,hatuombei hivyo,lkn hicho kigezo ungekitoa, maana kishafunikwa na dhumuni la kuoa,hilo ni miongoni mwa madhumuni.
 
You are not serious Niggaa,bikra utaipata mtandaoni? Huku zote ni used but vibe,demu mwenye bikra zama vijijini huko utavikuta maana ushamba wapo huko,sio huku ktk utandawazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…