Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Inawezekana huna uwezo wa kuzalisha wa kiume. Ridhika na ulicho nacho.Nataka damu yangu mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana huna uwezo wa kuzalisha wa kiume. Ridhika na ulicho nacho.Nataka damu yangu mkuu
🤣🤣Mara nyingi watoto wa nje wanakuwa wa kike. Mara chache sana wanakuja wa kiume. Chunguza.
Sa itakuaje mi hata wa kike sawa tu natamani mpaka kifo changu (Nikiishi) niwe na watoto angalau nane. Kwa sasa ndoani ninao 4. Plus mmoja ambae mama yake kanifungia viooMara nyingi watoto wa nje wanakuwa wa kike. Mara chache sana wanakuja wa kiume. Chunguza.
Anza kuchunguza utaniambia.
Sawa..Anza kuchunguza utaniambia.
Sasa si umzalishe huyo mkeo watoto wa kutosha?Sa itakuaje mi hata wa kike sawa tu natamani mpaka kifo changu (Nikiishi) niwe na watoto angalau nane. Kwa sasa ndoani ninao 4. Plus mmoja ambae mama yake kanifungia vioo
Huyo ni kabla ya kuoa. Sasa hivi ukipiga nje jike hilooooKabla ya kuoa nilikua nae wa kiume mmoja ila mama yake kazingua. Dogo na Mimi ni photocopy
Atafute mitaani. Ila wa kuzaa tu hapatiAisee ni ngumu ninavyowajuwa wadada wakislamu weh umeingia chaka la kongo hivi kwanza utawaambia nini wazazi wake unamzalisha halafu unachukua mtoto walahi humpati tupo hapa ukipata nipe mrejesho
🤣🤣Huyo ni kabla ya kuoa. Sasa hivi ukipiga nje jike hiloooo
Anaonekana hatazaa tena maana mtoto wa mwisho ana mwaka na tulimpata Kwa masimango sana.Sasa si umzalishe huyo mkeo watoto wa kutosha?
Kama ana uwezo wa kupandikiza, (IVF - In Vitro Fertilization) anachagua jinsiaMara nyingi watoto wa nje wanakuwa wa kike. Mara chache sana wanakuja wa kiume. Chunguza.
Mtoto, binti aliyetunzwa hawezi kukubali kuzaa tu.Nataka kuwa mkweli since day one ili mtoto wa watu asiwe na expectations zozote