Natafuta mwanamke wa kiislamu wa kuzaa nae

Bora nisingweka kigezo Cha dini ila nikiwa Natafuta naijua tu kichwani
 
Ndani ya miaka 3 mambo yakienda kama unavyotaka manzi anakuwa jumla ameingiza milioni 10
Hakuna surrogate atakayekubali kwa chini ya million 30. Halafu huyo hana uzoefu na haya mambo. Mwanamke akitoa yai lake, hakupi mtoto hata kwa manati. Inatakiwa yai lisiwe lake na akijifungua mtoto hata asimuone huyo mtoto maana huwa inaleta uhasama kati ya huyo mama na mtoto
 
Sasa si bora mtu ajue kabla kuliko kuzalisha mtoto wa watu akiwa hajui dhamira yako? Ningekua na pesa sa kutosha nongehama dini nioe wake 4 . Hata nikizipata Bado kuna tatizo kuhusu familia yangu ya sasa
 
Hakuna surrogate atakayekubali kwa chini ya million 30. Halafu huyo hana uzoefu na haya mambo. Mwanamke akitoa yai lake, hakupi mtoto hata kwa manati. Inatakiwa yai lisiwe lake na akijifungua mtoto hata asimuone huyo mtoto maana huwa inaleta uhasama kati ya huyo mama na mtoto
30 Kwa Hali yangu ya sasa ni parefu sana
 
Hakuna surrogate atakayekubali kwa chini ya million 30. Halafu huyo hana uzoefu na haya mambo. Mwanamke akitoa yai lake, hakupi mtoto hata kwa manati. Inatakiwa yai lisiwe lake na akijifungua mtoto hata asimuone huyo mtoto maana huwa inaleta uhasama kati ya huyo mama na mtoto
Mbona kuna watu wamezaa na mwanamke ametoa mtoto akae na baba?!
 
Anaonekana hatazaa tena maana mtoto wa mwisho ana mwaka na tulimpata Kwa masimango sana.

Niliwahi kuleta Uzi humu NANI ANAAMUA IDADI YA WATOTO KWENYE NDOA? .....Sijui huo Uzi upo wapi kama kuna mtaalamu wa kujua namna ya kuleta Uzi aniwekee nijikumbushe

Tuanze na huu kwanza

Ungeanza kujitafuta wewe kwanza kabla hujaongeza kiumbe kingine kitakachokuja kupata tabu sababu ya uzembe wa baba yake
 
Kwa hiyo umekuja kuniharibia? Anyway naomba na Uzi fulani Nani huamua idadi ya watoto kwenye ndoa? Nitashukuru.
 
Aisee ni ngumu ninavyowajuwa wadada wakislamu weh umeingia chaka la kongo hivi kwanza utawaambia nini wazazi wake unamzalisha halafu unachukua mtoto walahi humpati tupo hapa ukipata nipe mrejesho
Mbona wengi tu wamezalishwa na wameachwa?
Kuwa kwenye dini fulani haimanishi u-mkamilifu. Dini ni mpango wa mwanadamu ndiyo maana kuna mpaka mahakama ya kadhi zipo
 
Tuanze na huu kwanza

Ungeanza kujitafuta wewe kwanza kabla hujaongeza kiumbe kingine kitakachokuja kupata tabu sababu ya uzembe wa baba yake
Hawezi kupata tabu uwekezaji Kwa watoto wangu ni first priority
 
Kumbe anatuchezea tu! Hivi anadhani kuna mwanamke abebe mimba miezi 9 ajifungue kwa uchungu then amtoe mtoto kiulaini! Hakuna kitu kama hicho duniani
 
Vigezo:
1. Awe muislamu
2. Umri miaka 20-26 au around that age.
3. Hakutakua na mapenzi kati yetu just need a child.
4. Mtoto akifika miaka 3 namchukua.
5. Malipo milioni mbili ukishika mimba. Milioni tatu mtoto akizaliwa salama. Milioni tano ukinikabidhi mtoto.

N.B. Mimi nimeoa na Nina watoto wa kike 4.
Nitafurahi mtoto akitoka dume ila hata akitoka vyovyote poa tu. Kama upo serious njoo pm.
Labda tukupe mimba wewe na pesa hio Kama itafaa
 
Hawezi kupata tabu uwekezaji Kwa watoto wangu ni first priority
Moja ya sababu ya kutokua na hela za kutosha ni hao watoto. Wanasoma shule nzuri na hawajawahi lala njaa. Nimeshajua siwezi kuwa na legacy ya maana ila nataka watoto wa kutosha na dedication ni COWARD OF THE COUNTRY.
 
Vigezo:
1. Awe muislamu
2. Umri miaka 20-26 au around that age.
3. Hakutakua na mapenzi kati yetu just need a child.
4. Mtoto akifika miaka 3 namchukua.
5. Malipo milioni mbili ukishika mimba. Milioni tatu mtoto akizaliwa salama. Milioni tano ukinikabidhi mtoto.

N.B. Mimi nimeoa na Nina watoto wa kike 4.
Nitafurahi mtoto akitoka dume ila hata akitoka vyovyote poa tu. Kama upo serious njoo pm.
FaizaFoxy
 
Tuanze na huu kwanza

Ungeanza kujitafuta wewe kwanza kabla hujaongeza kiumbe kingine kitakachokuja kupata tabu sababu ya uzembe wa baba yake
😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom