Natafuta mwanamke wa kiislamu wa kuzaa nae

Natafuta mwanamke wa kiislamu wa kuzaa nae

Kumbe ni pangu pakavu tia mchuzi halafu anajifaraghua atamlipa mwanamke wa kumzalia milioni 10 huku ana mkopo NMB wa miaka mitano hajamaliza
emoji2296.png
emoji119.png
Kwa hiyo nitakosa milioni kumi tena sio lamp sum.
 
Kumbe ni pangu pakavu tia mchuzi halafu anajifaraghua atamlipa mwanamke wa kumzalia milioni 10 huku ana mkopo NMB wa miaka mitano hajamaliza [emoji2296][emoji119]
Na wewe ulie fufua huu Uzi wa miaka 37 poa tu hamna shida haya ni mapito tu
 
Kumbe ni pangu pakavu tia mchuzi halafu anajifaraghua atamlipa mwanamke wa kumzalia milioni 10 huku ana mkopo NMB wa miaka mitano hajamaliza [emoji2296][emoji119]

Humu JF wasanii wengi ,Spin Doctors kibao ,Trollers wa kutosha ,humu ni kupita na kuyaacha unaweza ukawa unamuonea wivu TAJIRI wa JF kumbe yeye ndiyo wa kuonewa huruma.
 
- Je sababu huwa nini hasa?.

Humu JF wasanii wengi ,Spin Doctors kibao ,Trollers wa kutosha ,humu ni kupita na kuyaacha unaweza ukawa unamuonea wivu TAJIRI wa JF kumbe yeye ndiyo wa kuonewa huruma.
Maybe ila maisha yangu ni kama nilivyoelezea Kwa kifupi Nina kipato cha mwisho wa mwezi tu. Familia kubwa no life nyumba ya kupanga Kila Kodi ikifika ni stress tupu acha tu
 
Kwa sababu Mimi ni mkristo na mke wangu na watoto ni wakrito. Pia napenda life style ya wanawake wa kiislamu hawana baya. Mtoto akiwa wa kiume nitampa jina neutral kama vile Sulemani au Mussa akikua ataamua mwenyewe....
Ukome kuwaza kutuharibia mabinti wetu wazuri wa kiislam,
Katafute kanisani huko na ulipe madeni ya watu yalokujaa.
 
Back
Top Bottom