Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
Ukipata wa kike tena? Una plan C?Maybe ila maisha yangu ni kama nilivyoelezea Kwa kifupi Nina kipato cha mwisho wa mwezi tu. Familia kubwa no life nyumba ya kupanga Kila Kodi ikifika ni stress tupu acha tu