Jugado
JF-Expert Member
- Oct 28, 2021
- 1,446
- 3,184
- Thread starter
- #81
Unajuaje Hali imebadilika hata kama ni kidogo. Nikifika miaka 40 nitaleta Uzi wa MAISHA YANGU BAADA YA MIAKA 40. Najua nitakua mbali ikiwa nitakua haiKwa hiyo na wewe umekuja kuwaharibia wengine?
Mtu unanuka madeni,huna muelekeo na bado unataka kuongeza majukumu ambayo yatakushinda
Kwanza hakuna mwanamke timamu akuzalie badae akuuzie mtoto