Natafuta mwanamke wa kiislamu wa kuzaa nae

Tafuta binti wa kiislama uoe mke wa pili,by the way unaweza kumpata but lazima atakuwa na hulka za umalaya.
Na possibility ya kukupa mtoto ni ngumu sana,Wanawake kuwatenganisha na watoto wake ni kazi sana
 
Sasa si bora mtu ajue kabla kuliko kuzalisha mtoto wa watu akiwa hajui dhamira yako? Ningekua na pesa sa kutosha nongehama dini nioe wake 4 . Hata nikizipata Bado kuna tatizo kuhusu familia yangu ya sasa
Achana na imani za dini za kuna,Fanya kulingana na moyo wako unataka nini.
 
Subiri DP WORLD waje uchanganye damu,

Sent from my Infinix X6820 using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke kubeba mimba miezi 9 siyo mchezo na kuna risks kibao. Waongezee dau fika hata 100m.
 
Maybe ila maisha yangu ni kama nilivyoelezea Kwa kifupi Nina kipato cha mwisho wa mwezi tu. Familia kubwa no life nyumba ya kupanga Kila Kodi ikifika ni stress tupu acha tu

Sasa Mkuu kama una life style hilo na unataka tena kuongeza majukumu mengine wakati uliyonayo yanakushinda hauoni utampa tabu huyo mke/mtoto ajaye? Yaani huyu mwanamke ni sawa na kuwa unampa kila mwezi laki 3(10m ndani ya miaka mi3 ukiacha gharama za kula/bima/malazi/mavazi)
 
Kwa sababu dini ya uislam ata ukristo zimekataza zinaa mkuu.ivo ukifanya ivo huna uhalali wa mtoto ni dhiki tu za baadhi ya familiia na kukosa elimu ya dini ndo wanakubali mtoto wa nje ya ndoa abaki kwa baba ila si sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…