Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Mi nakunyanyasa na nini tena.....Mkuu unaninyanyasa kweli kweli. Mimi ni mtu mkimya sana na mtaratibu kiukweli. Mtu wangu permanent yuko Mwanza huko. I really wish ningeweza kupata mdada ambae tungepeana raha tu na kuenjoy maisha kunipunguzia upweke bila kuwa na future expectations za mahusiano permanent.
Hapana mkuu, unapotosha kidogo. Gharama za raha na kuenjoy mimi nitazilipia mkuu, hilo sio shida.Katika lugha ya kiutu uzima wewe husumbuliwi na upweke bali wewe unasumbuliwa na nyege za muda mrefu.....hivyo unatafuta mwanamke ambaye utakuwa na uhakika wa kukupunguzia nyege kwa gharama zake.....
Namuaminia mbio atakuwa nazohaogopi kutatuliwa?
Yes mkuu, hapo umeanza kunielewa sasa. Sihitaji uhusiano serious au permanent maana huo ninao, ila tu mtu ambae nitakua napunguziana nae upweke na mihemko ya hapa na pale. Nothing serious.Aaaaah okay sasa umeeleweka kumbe unataka mchepuko tu wa kupunguza punguza hamu za hapa na pale nikajua maswala serious....
sasa kwa mfano nimekuonja nikakolea? tutafanyajeYes mkuu, hapo umeanza kunielewa sasa. Sihitaji uhusiano serious au permanent maana huo ninao, ila tu mtu ambae nitakua napunguziana nae upweke na mihemko ya hapa na pale. Nothing serious.
Costs za hayo mambo nitagharamia, nisichotaka ni zile gharama za kila siku mtu anakuomba hela ya kula, sijui ya gesi, mara ya kusuka
Bikra hutaki mkuu?Una shida na hilo?
😂😂😂 au yeye akakoleasasa kwa mfano nimekuonja nikakolea? tutafanyaje
eti jamani?😂😂😂 au yeye akakolea
Unapindua meza....sasa kwa mfano nimekuonja nikakolea? tutafanyaje
Hakuna kukoleana mkuu. Ni kutulizana mihemko tu basi. Kwa sababu mimi nina mtu wangu permanent huyo siwezi kumuacha asilani!! Sema tu changamoto ya umbali kwa sasa inanifanya niwe mpweke maana kuonana labda ni mara moja kwa miezi mitatu. Muda wote huo hapo katikati nahitaji mtu wa kutuliza hii mihemko.sasa kwa mfano nimekuonja nikakolea? tutafanyaje
Bikra ya kazi gani mimi?Bikra hutaki mkuu?
Mission impossibleUnapindua meza....
Maneno yako ya kejeli mkuu. Unaniona kama "loser" fulani hivi.Mi nakunyanyasa na nini tena.....
Haaaaaa jamani!!!! Mi nilikua nahitaji kujua tu, kama ndio umetafsiri hivo samahani wala sina nia hiyo.Maneno yako ya kejeli mkuu. Unaniona kama "loser" fulani hivi.
Ila fresh tu.
Hahahaha...!! Yaani mkuu unaniomba msamaha halafu unarusha tena dongo.Haaaaaa jamani!!!! Mi nilikua nahitaji kujua tu, kama ndio umetafsiri hivo samahani wala sina nia hiyo.
Kama vile umejishtukia tu, anyway ndio nyg zenyewe hizo zikizidi....😁
Mimi hizo games hata sijui jinsi ya kucheza mkuu, sio mdau kabisa.Kwa kujua hilo la upweke nikienda mikoani hua nabeba play station
Njoo PM basi tuelewane. Au ulikua unazingua tu?eti jamani?
Hahaha kwahiyo umeamua kucheza na K ya mtu?Mimi hizo games hata sijui jinsi ya kucheza mkuu, sio mdau kabisa.