Natafuta mwanamke wa kuenjoy maisha

Natafuta mwanamke wa kuenjoy maisha

Mkuu unaninyanyasa kweli kweli. Mimi ni mtu mkimya sana na mtaratibu kiukweli. Mtu wangu permanent yuko Mwanza huko. I really wish ningeweza kupata mdada ambae tungepeana raha tu na kuenjoy maisha kunipunguzia upweke bila kuwa na future expectations za mahusiano permanent.
Mi nakunyanyasa na nini tena.....
 
Katika lugha ya kiutu uzima wewe husumbuliwi na upweke bali wewe unasumbuliwa na nyege za muda mrefu.....hivyo unatafuta mwanamke ambaye utakuwa na uhakika wa kukupunguzia nyege kwa gharama zake.....
Hapana mkuu, unapotosha kidogo. Gharama za raha na kuenjoy mimi nitazilipia mkuu, hilo sio shida.
 
Aaaaah okay sasa umeeleweka kumbe unataka mchepuko tu wa kupunguza punguza hamu za hapa na pale nikajua maswala serious....
Yes mkuu, hapo umeanza kunielewa sasa. Sihitaji uhusiano serious au permanent maana huo ninao, ila tu mtu ambae nitakua napunguziana nae upweke na mihemko ya hapa na pale. Nothing serious.
Costs za hayo mambo nitagharamia, nisichotaka ni zile gharama za kila siku mtu anakuomba hela ya kula, sijui ya gesi, mara ya kusuka
 
sasa kwa mfano nimekuonja nikakolea? tutafanyaje
 
sasa kwa mfano nimekuonja nikakolea? tutafanyaje
Hakuna kukoleana mkuu. Ni kutulizana mihemko tu basi. Kwa sababu mimi nina mtu wangu permanent huyo siwezi kumuacha asilani!! Sema tu changamoto ya umbali kwa sasa inanifanya niwe mpweke maana kuonana labda ni mara moja kwa miezi mitatu. Muda wote huo hapo katikati nahitaji mtu wa kutuliza hii mihemko.
No strings attached
 
Haaaaaa jamani!!!! Mi nilikua nahitaji kujua tu, kama ndio umetafsiri hivo samahani wala sina nia hiyo.

Kama vile umejishtukia tu, anyway ndio nyg zenyewe hizo zikizidi....😁
Hahahaha...!! Yaani mkuu unaniomba msamaha halafu unarusha tena dongo.
Mihemko ni kweli imenizidi, hilo sikatai.
Upweke ni mbaya sana aisee, i hope nitapata wa kuliwazana nae hapa JF
 
Kama unadau nicheki mimi ni dalali mzuri wakutafutia watu wanawake/wanaume wa kuchezeana.
 
Back
Top Bottom