Natafuta mwanamke wa kuoa - Mtwara mjini

NextPresd

Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
22
Reaction score
76
Habari ndugu zangu.

Mtaniwia radhi kama nitakuwa nimekosea au utakwazika kwa ujumbe wangu.
1. Natafuta mwanamke anayehitaji mume wa kumuoa. Mwanamke ambaye yupo "intrinsic" na hilo jambo;
2. Umri wake uwe kuanzia miaka 25 hadi 33;
3. ASIWE NA MTOTO - kwa maana nyingine SIHITAJI SINGLE MOTHER (Naomba mnisamehe kwa hili kwa sababu sina ujasiri wa kulea mtoto wa mwanaume mwingine);
4. Angalau awe na elimu ya kuanzia kidato cha nne (Form four)na kuendelea;
5. Awe anayejielewa na kujiheshimu na kuheshimu wengine;
6. Awe dini yeyote ile - mkristo au Muislam;
7. Asiwe wa mkoa mwingine - sihitaji mahusiano ya mbali labda awe tayari kuhamia mtwara mjini na akuje kwa nauli yake (Situmi nauli).

KUHUSU MIMI

1. Naishi mtwara mjini;
2. Nipo single na nina uhitaji wa mke;
3. Ni mtumishi wa umma (serikalini);
4. Mkristo wa katoliki ;
5. Najitambua, najali afya na nipo tayari kwa vipimo.

ASANTE SANA, KARIBU KWA MWENYE SIFA NA UHITAJI WA MUME.

NB: KAMA YUPO MWANAMKE AMBAYE ANATOKEA MKOA WA LINDI NA YUPO INTERESTED NAYE PIA NAFASI IPO WAZI - ANAKARIBISHWA MAANA LINDI NA MTWARA NI JIRANI SANA
 
Nenda kalale hang over inakusumbua. Blue Monday
 
Umekuja kuharibu hapo kusema hutumi nauli duh! Hapo inaonekana hata kwenye kuhudumia mtasumbuana na huyo mke
Hapana sina maana hiyo, kwa mfano mtu anakuambia yupo Dodoma halafu mimi nipo mtwara, unadhani hapo nauli ya to and fro ni sh ngapi plus njiani n.k .

Na utakuta anakuambia tuma nauli ili nije na tuweze kuonana na anaonyesha yupo interested kabisa, sasa utatuma nauli mtaonana na pia anaweza ku-apply u Zuchu ....siendiii nasema siendiii hapo si unaona hilo tatizo?
Ndio maana nimesema ni vema kama nitampata mwanamke mwenye uhitaji lakini pia awe nearby kwa sababu mahusiano ya mbali yana changamoto sana.

NB: AKIWA WA MKOA WA LINDI HAKUNA SHIDA MAANA LINDI NA MTWARA NI JIRANI SANA
 
Hoja uliyotumia kuwakacha ma single maza ni dhaifu mno!

1:Akikuambia mtoto hutomlea na hataishi na nyinyi si tayari amekupiga mweleka!

2:Je watoto wa ndugu zako nao huna ujasiri wa kuwalea sababu ni wa wanaume wenzio?

Ukiamua kuwakataa wala huwajibiki kujieleza kwa yeyote juu ya uamuzi wako!
 
Hapana sina maana hiyo, kwa mfano mtu anakuambia yupo Dodoma halafu mimi nipo mtwara, unadhani hapo nauli ya to and fro ni sh ngapi plus njiani n.k .

Na utakuta anakuambia tuma nauli ili nije na tuweze kuonana na anaonyesha yupo interested kabisa, sasa utatuma nauli mtaonana na pia anaweza ku-apply u Zuchu ....siendiii nasema siendiii hapo si unaona hilo tatizo?
Ndio maana nimesema ni vema kama nitampata mwanamke mwenye uhitaji lakini pia awe nearby kwa sababu mahusiano ya mbali yana changamoto sana.

NB: AKIWA WA MKOA WA LINDI HAKUNA SHIDA MAANA LINDI NA MTWARA NI JIRANI SANA
Hapo sawa mimi nimekuelewa sasa hivi matapeli wengi saba unaweza kutuma nauli ukazimiwa na simu kabisa
 
Habari ndugu zangu.

Mtaniwia radhi kama nitakuwa nimekosea au utakwazika kwa ujumbe wangu.
1. Natafuta mwanamke anayehitaji mume wa kumuoa. Mwanamke ambaye yupo "intrinsic" na hilo jambo;
2. Umri wake uwe kuanzia miaka 25 hadi 33;
3. ASIWE NA MTOTO - kwa maana nyingine SIHITAJI SINGLE MOTHER (Naomba mnisamehe kwa hili kwa sababu sina ujasiri wa kulea mtoto wa mwanaume mwingine);
4. Angalau awe na elimu ya kuanzia kidato cha nne (Form four)na kuendelea;
5. Awe anayejielewa na kujiheshimu na kuheshimu wengine;
6. Awe dini yeyote ile - mkristo au Muislam;
7. Asiwe wa mkoa mwingine - sihitaji mahusiano ya mbali labda awe tayari kuhamia mtwara mjini na akuje kwa nauli yake (Situmi nauli).

KUHUSU MIMI

1. Naishi mtwara mjini;
2. Nipo single na nina uhitaji wa mke;
3. Ni mtumishi wa umma (serikalini);
4. Mkristo wa katoliki ;
5. Najitambua, najali afya na nipo tayari kwa vipimo.

ASANTE SANA, KARIBU KWA MWENYE SIFA NA UHITAJI WA MUME.

NB: KAMA YUPO MWANAMKE AMBAYE ANATOKEA MKOA WA LINDI NA YUPO INTERESTED NAYE PIA NAFASI IPO WAZI - ANAKARIBISHWA MAANA LINDI NA MTWARA NI JIRANI SANA
Korosho Zina kilevi???
 
Tumsifu Yesu kristo!

-Kama niko Mchinga nauli utatuma?
- kama mtu yuko mbali si utume hata tiketi mkuu?
Anayway; kila la kheir upate mke mwema
We ukuje bana tunachelewesha watoto shule.
Mchinga is close to Mtwara, by the way nimeshakupenda, KARIBU SANA 🙏
 
Back
Top Bottom