Habari ndugu zangu.
Mtaniwia radhi kama nitakuwa nimekosea au utakwazika kwa ujumbe wangu.
1. Natafuta mwanamke anayehitaji mume wa kumuoa. Mwanamke ambaye yupo "intrinsic" na hilo jambo;
2. Umri wake uwe kuanzia miaka 25 hadi 33;
3. ASIWE NA MTOTO - kwa maana nyingine SIHITAJI SINGLE MOTHER (Naomba mnisamehe kwa hili kwa sababu sina ujasiri wa kulea mtoto wa mwanaume mwingine);
4. Angalau awe na elimu ya kuanzia kidato cha nne (Form four)na kuendelea;
5. Awe anayejielewa na kujiheshimu na kuheshimu wengine;
6. Awe dini yeyote ile - mkristo au Muislam;
7. Asiwe wa mkoa mwingine - sihitaji mahusiano ya mbali labda awe tayari kuhamia mtwara mjini na akuje kwa nauli yake (Situmi nauli).
KUHUSU MIMI
1. Naishi mtwara mjini;
2. Nipo single na nina uhitaji wa mke;
3. Ni mtumishi wa umma (serikalini);
4. Mkristo wa katoliki ;
5. Najitambua, najali afya na nipo tayari kwa vipimo.
ASANTE SANA, KARIBU KWA MWENYE SIFA NA UHITAJI WA MUME.
NB: KAMA YUPO MWANAMKE AMBAYE ANATOKEA MKOA WA LINDI NA YUPO INTERESTED NAYE PIA NAFASI IPO WAZI - ANAKARIBISHWA MAANA LINDI NA MTWARA NI JIRANI SANA