Natafuta Mwanamke wa kuoa

Huyo lazima awe msabato aliyechangamka,hajaharibu ngozi,hajaharibu nywele,awe mcha Mungu,hanywi pombe halafu ana Tattoo kiunoni🙄
 
Nafanya ushenga hapahapa

 
Hiyo masters ndio tatizo hapo..huwezi pata mwanamke mwenye masters akawa na sifa ya kua mke
 
Hiyo option ya kukata mgomba na kuuweka ndani, naona ndiyo nzuri kuliko zote.
 
Hayupo mwanamke wa kufit vigezo vyako kwa asilimia mia.

Mvua zinanyesha sahivi
Finyanga wako umtakaye

Ukishindwa njoo Kaskazin huku kwa kina Lenie tukuhonge mgomba 😂😅
Mgomba unamhusu huyo
 
Hiyo option ya kukata mgomba na kuuweka ndani, naona ndiyo nzuri kuliko zote.

Maana huwezi kusema unataka mwanamke asiyependa social media na udaku, halafu wakati huo huo unamtaka akufuate inbox!!
Hapana mkuu, nimesema sitaki Unbox
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…