Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafanya ushenga hapahapaNdugu wanajamvi. Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza.
Nimeamua kuacha na life hili la kisera na la kujiamulia nitakavyo na kuanza life litakalonifanya ku surrender na kuji limi au kulimitiwa kwenye baadhi ya mambo.
Pamoja na uamuzi huo muafaka kwangu, hili halienda patulo bila vigezo. Aina ya mwanamke ninayetafuta ni lazima awe na na tatoo kiunoni, pia asiwe ameharibu ngozi yake wala nywele zake kwa maremborembo, awe hanywi, pombe, awe mcha Mungu pia awe na elimu kuanzia masters na asiwe mtu wa kupenda social medias au udaku.
Zaidi asiwe mwanamke ambaye akivaa nguo inampendeza bali chochote atakachovaa anakifanya kionekane kizuri. Urefu wake asizidi wala asipungue cm 177, na uzito usizidi Kg 68.
Kama hayupo basi niachane nikakate mgomba niuweke ndani.
Nawakaribisheni...sitaki Inbox
Hiyo option ya kukata mgomba na kuuweka ndani, naona ndiyo nzuri kuliko zote.Ndugu wanajamvi. Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza.
Nimeamua kuacha na life hili la kisera na la kujiamulia nitakavyo na kuanza life litakalonifanya ku surrender na kuji limi au kulimitiwa kwenye baadhi ya mambo.
Pamoja na uamuzi huo muafaka kwangu, hili halienda patulo bila vigezo. Aina ya mwanamke ninayetafuta ni lazima awe na na tatoo kiunoni, pia asiwe ameharibu ngozi yake wala nywele zake kwa maremborembo, awe hanywi, pombe, awe mcha Mungu pia awe na elimu kuanzia masters na asiwe mtu wa kupenda social medias au udaku.
Zaidi asiwe mwanamke ambaye akivaa nguo inampendeza bali chochote atakachovaa anakifanya kionekane kizuri. Urefu wake asizidi wala asipungue cm 177, na uzito usizidi Kg 68.
Kama hayupo basi niachane nikakate mgomba niuweke ndani.
Nawakaribisheni...sitaki Inbox
Vibaya mno ndugu mmarekani mwenzanguWe ni mufupi?
Mnikomee kwanini asimchague na dada Yako sitaki mazoea
Hapana mkuu, nimesema sitaki UnboxHiyo option ya kukata mgomba na kuuweka ndani, naona ndiyo nzuri kuliko zote.
Maana huwezi kusema unataka mwanamke asiyependa social media na udaku, halafu wakati huo huo unamtaka akufuate inbox!!
😛Mnikomee kwanini asimchague na dada Yako sitaki mazoea
sasa ufupi na kumiliki hisense Tv wapi na wapi?Vibaya mno ndugu mmarekani mwenzangu
Mxiuu Wala sitaki jamaniWewe huenda ukanifaa
Uwezi ukanyimwa vyote 😀 Chakorii tu ndio uwe fungu la kukosa? Nehii nehii
Ile picha mbona ni mrefu, wafupi huwa wamesheheni haswaYani ukafanya nikajiexpozi na ile picha lakini bado huniamini…tomaso nitakukata mitama ujue😁😁