Weka uzi warembo waje pm...ila hakikisha una hela mdogo wangu..mapenzi bila pesa hutoboiSong by Harmonize
Kwani Mimi Naniii🎶
Kwani Mimiiii naniii🎶
One Day I Used To Call My Mama To Tell Her That Am Falling Looove
Am singooo🎶
Am singoo agaaiiin🎶🎶
Hiyo ni show kweli ??..🤣🤣🤣🤣Usinifanya nirudi kwa mashangazi bhana. Nataka binti ambaye tunaweza kata shanga au cheni wakati wa shoo 🌹
Tena wakae mbali kama ardhi na mbingu. Sisi tunaelea katika anga letu la Upendo na kupendana ,huku tukipulizwa na upepo wa mahaba unaounganisha hisia na mioyo yetu.😂😂😂😂😂😂Watuache mimi na wewe ni damu damu
Naomba nafasi kwenye moyo wakoWeka uzi warembo waje pm...ila hakikisha una hela mdogo wangu..mapenzi bila pesa hutoboi
Ufanye nini tenaNaomba nafasi kwenye moyo wako
Nipate mapenzi yakoUfanye nini tena
Nipate mapenzi yako
Sinaaaa
Hakuna mwanaume asiye na hela, ila hela zake siyo zako😁Sasa maneno yatalipa bill kweli???
Mkuu,Assalamualaikum Wana familia ya jf.
Nina ishi mbeya mjini sehemu inaitwa Airport ya zamani.
Natafuta mwanamke anayejitambua na mwenye uhitaji wa mume ili kujenga familia.
Sifa zake
Awe mwanamke mzuri na mwenye hofu ya Mungu, umri kuanzia miaka 23 na usizidi miaka 40.
Ukiwa singo mama basi usiwe na zaidi ya watoto watatu.
uwe na shuguli/ kazi ya kukuingizia kipato hata kama ni kidogo lakini sio mtu wa kukaa tu nyumbani 24/7 hapana.
Sibagui dini - sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu kikubwa ni upendo wa kweli, kuheshimiana na ku- focus maisha kwa pamoja.
Sifa zangu.
Nina miaka 40. Nina mtoto mmoja.
Nina uhitaji wa kweli.
Maisha ya mbeya ni rahisi sana, hivyo pamoja na kuhakikisha kuwa ndani Kuna kila kitu - Mchele, unga, mafuta, sukari, gesi ya kupikia, n.k bado mke atakuwa na bajeti ya ziada sh. Laki moja na nusu (150,000/=) average cost of 5,000/= per day kama Kodi ya mezani na inaweza kuongezeka kulingana na context.
NB: Najua wapo watakao kuja na kejeli kuwa hiyo pesa haitoshi lakini akiwa mwanamke ambaye hana mtoto hiyo pesa kwa hapa Mbeya mjini ni kubwa sana na maisha yatakuwa poa. Akiwa singo mama na yeye akiwa na kazi ya kuingiza kupato japo kidogo still hiyo fedha itakuwa na maana sana.
Watu wa Dar mkae kwa kutulia hatutaki shobo maandazi - kujifanya mmepatia maisha kumbe mnateseka kila uchao na wala hamjui kesho yenu zaidi ya kutafuta pesa ya ugali, nauli ya daladala na Kodi ya chumba kimoja tena uswahilini.
MWANAMKE MWENYE NIA YA DHATI KARIBU SANA PM ,
NB : LOCATION - MBEYA MJINI, Kama upo very interested na upo nearby Mbeya ukija PM nyosha maelezo yako vizuri but sihitaji distance relationship.
Pia uwe ready kupima UKIMWI pamoja nawe mara TATU.
You don't know, wame mtenda vipi mpaka kaja huku 🤣😁Mkuu,
Mbeya yote hujaonaa embu be serious mkuu
Mkuu huogopi kurogwa? Sasa endelea kukatiza kwenye 18 zangu 😅ephen ndio mboni yangu,ndio waridi wangu,ndio taa ya mwili wangu,ndio furaha yangu, ukiufunua moyo wangu unaukuta umejaa ephen
Nitamfunza.
Mkuu kumbe ww ni she. Sikujua, nakusoma kwenye jukwaa la picha kwenye uzi pendwaNakuja tuyajenge.
Na kaswende insyoishi miaka 30Hahaha
Kwa hiyo warembo wa Dar hawatakiwi, au?
Hapa nakuunga mkono..
Tena mtakapocheki moto, cheki gono pia, maana naskia siku hizi kuna gono sugu inatibiwa kwa dawa za mbwa tu
Mmmh! Ukamdekee vilivyoNakuja tuyajenge.
Dah 😅😅Mkuu kumbe ww ni she. Sikujua, nakusoma kwenye jukwaa la picha kwenye uzi pendwa
Huyo una mvimbisha Hilo pulizio lake lenye kengele 🤣🤓Mkuu huogopi kurogwa? Sasa endelea kukatiza kwenye 18 zangu 😅
Sasa huyu mwenzio anapenda mishangazi sijui itakuwqjeHakuna mwanaume asiye na hela, ila hela zake siyo zako😁
Analyse Kaka una hitaji maombi 😂, Huku Nako Wana kukataa🤣Sasa huyu mwenzio anapenda mishangazi sijui itakuwqje