Natafuta mwanamke wa kuoa

Natafuta mwanamke wa kuoa

Song by Harmonize

Kwani Mimi Naniii🎶
Kwani Mimiiii naniii🎶
One Day I Used To Call My Mama To Tell Her That Am Falling Looove
Am singooo🎶
Am singoo agaaiiin🎶🎶
Weka uzi warembo waje pm...ila hakikisha una hela mdogo wangu..mapenzi bila pesa hutoboi
 
Usinifanya nirudi kwa mashangazi bhana. Nataka binti ambaye tunaweza kata shanga au cheni wakati wa shoo 🌹
Hiyo ni show kweli ??..🤣🤣🤣🤣
We endelea na malori yako tu.....@ephen njoo umchukue mpenzi wako bwana anazurula tu huku
 
😂😂😂😂😂😂Watuache mimi na wewe ni damu damu
Tena wakae mbali kama ardhi na mbingu. Sisi tunaelea katika anga letu la Upendo na kupendana ,huku tukipulizwa na upepo wa mahaba unaounganisha hisia na mioyo yetu.
 
Assalamualaikum Wana familia ya jf.

Nina ishi mbeya mjini sehemu inaitwa Airport ya zamani.
Natafuta mwanamke anayejitambua na mwenye uhitaji wa mume ili kujenga familia.
Sifa zake
Awe mwanamke mzuri na mwenye hofu ya Mungu, umri kuanzia miaka 23 na usizidi miaka 40.
Ukiwa singo mama basi usiwe na zaidi ya watoto watatu.
uwe na shuguli/ kazi ya kukuingizia kipato hata kama ni kidogo lakini sio mtu wa kukaa tu nyumbani 24/7 hapana.

Sibagui dini - sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu kikubwa ni upendo wa kweli, kuheshimiana na ku- focus maisha kwa pamoja.
Sifa zangu.
Nina miaka 40. Nina mtoto mmoja.
Nina uhitaji wa kweli.

Maisha ya mbeya ni rahisi sana, hivyo pamoja na kuhakikisha kuwa ndani Kuna kila kitu - Mchele, unga, mafuta, sukari, gesi ya kupikia, n.k bado mke atakuwa na bajeti ya ziada sh. Laki moja na nusu (150,000/=) average cost of 5,000/= per day kama Kodi ya mezani na inaweza kuongezeka kulingana na context.

NB: Najua wapo watakao kuja na kejeli kuwa hiyo pesa haitoshi lakini akiwa mwanamke ambaye hana mtoto hiyo pesa kwa hapa Mbeya mjini ni kubwa sana na maisha yatakuwa poa. Akiwa singo mama na yeye akiwa na kazi ya kuingiza kupato japo kidogo still hiyo fedha itakuwa na maana sana.
Watu wa Dar mkae kwa kutulia hatutaki shobo maandazi - kujifanya mmepatia maisha kumbe mnateseka kila uchao na wala hamjui kesho yenu zaidi ya kutafuta pesa ya ugali, nauli ya daladala na Kodi ya chumba kimoja tena uswahilini.

MWANAMKE MWENYE NIA YA DHATI KARIBU SANA PM ,

NB : LOCATION - MBEYA MJINI, Kama upo very interested na upo nearby Mbeya ukija PM nyosha maelezo yako vizuri but sihitaji distance relationship.

Pia uwe ready kupima UKIMWI pamoja nawe mara TATU.
Mkuu,
Mbeya yote hujaonaa embu be serious mkuu
 
Back
Top Bottom