Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
Duh!
Hili loshakuwa janga la taifa sasa, paka mwanamke huko kitaani wewe acha udomo zege! Wapo wengi sana mtaani.
uyu jamaa kama sio gay basi atakua hapendi wanawake kwa sababu zake binafsi...ivi kweli mwanaume uwe welloff ivyo then uogope mwanamke wa kukutunza km mumewe?ivi ulipita jando kweli ww?unakaa na wanaume waliooa au unarukaruka tu wahuni wa B bar....aisee ebu jitafakari upya kabla ya huo mpango wa kuleta icho kiumbe na kukupa males ya upande mmoja....do not generalise the history of ur past two women...grow up!!ndoa ni mzuri sn na wapo wana wake wengi sn desperate to be ur wife...niPM
Khhhhhhhaaaaaaaaaaaa,
Hivi mtu unaweza kuwa decent na sifa kibao ukose mke kweli?
Ila ningeshauri utafute surrogate mother, unamlipa cash yake na kila kitu kwa mkataba. Mayai unaweza kununua pia!
Ila bado sielewi kabisa!
Utanielewa tu bro. Mbona mimi najielewa kaka!? Ahaha!
Mila za magharibi unazileta bongo itakugharimu acha uboya ww wanawake kibao tatizo mnatafuta malaya usizunguzuliwe katafute mwanamke wa maadili uoe sio bora mwanamke wa shepu na sura eti mkataba unataka kununua Nyumba au
Mila za magharibi unazileta bongo itakugharimu acha uboya ww wanawake kibao tatizo mnatafuta malaya usizunguzuliwe katafute mwanamke wa maadili uoe sio bora mwanamke wa shepu na sura eti mkataba unataka kununua Nyumba au
Ya kweli hayo?
Unaweza kuwa unajielewa ila ukawa outlier. Jambo la msingi ni kupata msaada wa wenzio wanaokuzunguka na kuiifunza kutoa kwao.
Vinginevyo utabaki kujielewa mwenyewe wakati wengine wanakushangaa!
"I always go where it never crowded!" Hii ndo falsafa yangu ya maisha.
Sharti wanishangae mkuu.
Sasa huo uzuri ni kwa ajili ya fahari ya macho tu au unaogopa akiwa mbaya atakuharibia mtoto?. Kila la kheri though