Natafuta mwanamke wa kuzaa nae tu

Natafuta mwanamke wa kuzaa nae tu

Humble African

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
4,781
Reaction score
14,415
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza natafuta mwanamke wa kuzaa nae mtoto tu kisha jukumu la kumtunza mama na mtoto nitalibeba.

Ni kijana mwenye miaka 28, handsome, decent, humble, focused and hardwoking. Nina kazi serikalin mshahara wangu ni zaidi ya laki 8. Nina nyumba na gari.

Nimechoshwa na mapenzi ya kufake ya kibongo whoever interested aje PM then we can seal a deal then maandishi ya Ustawi wa jamii na mahakamani yatafuata.

Note; uzuri wa sura unanasisitizwa na utapewa kipaumbele zaidi.

Karibuni!
 
Emmbu orodhesha acc.no yako na bank ulizopo kwanza nikusaidie ukae.delee na zoezi ama lah...
 
Duh!
Hili loshakuwa janga la taifa sasa, paka mwanamke huko kitaani wewe acha udomo zege! Wapo wengi sana mtaani.
 
uyu jamaa kama sio gay basi atakua hapendi wanawake kwa sababu zake binafsi...ivi kweli mwanaume uwe welloff ivyo then uogope mwanamke wa kukutunza km mumewe?ivi ulipita jando kweli ww?unakaa na wanaume waliooa au unarukaruka tu wahuni wa B bar....aisee ebu jitafakari upya kabla ya huo mpango wa kuleta icho kiumbe na kukupa males ya upande mmoja....do not generalise the history of ur past two women...grow up!!ndoa ni mzuri sn na wapo wana wake wengi sn desperate to be ur wife...niPM
 
Niko very busy kaka sina muda wa kudate tena nafanya kazi serikalini na private matter of fact nshazinguliwa saana na women. I'm fade up na love stuffs though napenda saana mtoto awe anafanya vurugu ndani ya kagari kangu na mimi.
Sio domo zege nna confidence dunia nzima ila ni quite person saana sir.

Bado nasubiri!
 
Khhhhhhhaaaaaaaaaaaa,

Hivi mtu unaweza kuwa decent na sifa kibao ukose mke kweli?

Ila ningeshauri utafute surrogate mother, unamlipa cash yake na kila kitu kwa mkataba. Mayai unaweza kununua pia!

Ila bado sielewi kabisa!
 
uyu jamaa kama sio gay basi atakua hapendi wanawake kwa sababu zake binafsi...ivi kweli mwanaume uwe welloff ivyo then uogope mwanamke wa kukutunza km mumewe?ivi ulipita jando kweli ww?unakaa na wanaume waliooa au unarukaruka tu wahuni wa B bar....aisee ebu jitafakari upya kabla ya huo mpango wa kuleta icho kiumbe na kukupa males ya upande mmoja....do not generalise the history of ur past two women...grow up!!ndoa ni mzuri sn na wapo wana wake wengi sn desperate to be ur wife...niPM

Maneno murua saana haya mchepuko ila that's me nataka mtoto nimpende yeye na mama yake for better for worse mimi ni workholic person saana.

Marekani kuna ndoa kitaalamu zinaitwa prenuptial agreement zingekuwepo Bongo ningejaribu hii.
 
Last edited by a moderator:
Khhhhhhhaaaaaaaaaaaa,

Hivi mtu unaweza kuwa decent na sifa kibao ukose mke kweli?

Ila ningeshauri utafute surrogate mother, unamlipa cash yake na kila kitu kwa mkataba. Mayai unaweza kununua pia!

Ila bado sielewi kabisa!

Utanielewa tu bro. Mbona mimi najielewa kaka!? Ahaha!
 
Kwani sharti mwanamke, je ukipata mwanaume na akakuzalia uko tayari?
 
Mila za magharibi unazileta bongo itakugharimu acha uboya ww wanawake kibao tatizo mnatafuta malaya usizunguzuliwe katafute mwanamke wa maadili uoe sio bora mwanamke wa shepu na sura eti mkataba unataka kununua Nyumba au
 
Utanielewa tu bro. Mbona mimi najielewa kaka!? Ahaha!

Ya kweli hayo?

Unaweza kuwa unajielewa ila ukawa outlier. Jambo la msingi ni kupata msaada wa wenzio wanaokuzunguka na kuiifunza kutoa kwao.

Vinginevyo utabaki kujielewa mwenyewe wakati wengine wanakushangaa!
 
Mila za magharibi unazileta bongo itakugharimu acha uboya ww wanawake kibao tatizo mnatafuta malaya usizunguzuliwe katafute mwanamke wa maadili uoe sio bora mwanamke wa shepu na sura eti mkataba unataka kununua Nyumba au

Nakushukuru kwa mawazo yako ila ulitaka kuweka jazba tena!!
 
Mila za magharibi unazileta bongo itakugharimu acha uboya ww wanawake kibao tatizo mnatafuta malaya usizunguzuliwe katafute mwanamke wa maadili uoe sio bora mwanamke wa shepu na sura eti mkataba unataka kununua Nyumba au

Mbona umechukia kiasi hiki??
 
Ya kweli hayo?

Unaweza kuwa unajielewa ila ukawa outlier. Jambo la msingi ni kupata msaada wa wenzio wanaokuzunguka na kuiifunza kutoa kwao.

Vinginevyo utabaki kujielewa mwenyewe wakati wengine wanakushangaa!

"I always go where it never crowded!" Hii ndo falsafa yangu ya maisha.

Sharti wanishangae mkuu.
 
Sasa huo uzuri ni kwa ajili ya fahari ya macho tu au unaogopa akiwa mbaya atakuharibia mtoto?. Kila la kheri though
 
Sura ngumu za kike zina changamoto zake!! Binti mwenye sura ya babu yake hatapewa kipaumbele sema za ukweli!

Asije nizalia watoto nusu mtu nusu nyani!? Lol!
 
Back
Top Bottom