Natafuta mwanamke wa kuzaa naye

Natafuta mwanamke wa kuzaa naye

Mungu akupe hitaji la moyo wako best
Yule single mama inakuwaje Sasa au we nae unaharibu Sasa😂😂
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Jamani..nimecheka kwa nguvuuu
Enwei umezeeka Sana bana ungekua walau na 38 😜
Ah wee tulia mwanaume hazeeki bwana....bado tunaweza mwagilia mbolea kwa bustani at tukiwa na miaka 80
 
Nani atamsaidia huyu mwamba jamani apate chitoto chake asife bila kujaza dunia tusaidiane jamani mie ningemsaidia ila nimwiko kwetu kupata mtoto bila ndoa nitapigwa faini yang'ombe dume 7
 
Wewe kakitu kabaya unanitakia nini unajua unaniambia mimi nikazae na watu wa humu umeona naziki na wanaume???
Mara nauza sh. Ngapi una laki arobani
Dola ndio hiyo sio nauza nitakupatia kabisa ukiwa na hiyo.
Nakupenda wewe hujui tu.
Nakutakia mema sana tu.
Kama huyo mtu ni bomu basi uachane naye mrembo🤣🤣🤣
mzabzab
 
Back
Top Bottom