Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
Tatizo hujagonga..gonga ufunguliwe 😂😂shauri yakoPm yenyewe umefunga🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo hujagonga..gonga ufunguliwe 😂😂shauri yakoPm yenyewe umefunga🤣🤣🤣🤣
Haya ngoja nigongeTatizo hujagonga..gonga ufunguliwe 😂😂shauri yako
Akifungua kwisha kabisa🤣Haya ngoja nigonge
Afungue wapi ananienjoy tuuAkifungua kwisha kabisa🤣
Yaani wewe nikamtuNakupenda wewe hujui tu.
Nakutakia mema sana tu.
Kama huyo mtu ni bomu basi uachane naye mrembo🤣🤣🤣
mzabzab
Aisee mimi ndio nashtukia nipo kwenye huu uzi wa kuzaa na kuzalishaUkuzechora Tumelala mno usiku ..daa
Ulikuwa ni usiku mzuri usio na mang'amung'amuAisee mimi ndio nashtukia nipo kwenye huu uzi wa kuzaa na kuzalisha
Kabisa yaan leo usiku ulikua na mabarakaUlikuwa ni usiku mzuri usio na mang'amung'amu
HakikaKabisa yaan leo usiku ulikua na mabaraka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!![emoji1783][emoji1783][emoji1783] Jobless mwenzangu naona umechoka kuishi bila katoto, ukipata wengi na mie niunge na mmoja nipate mtoto hata mmoja, na mie niitwe baba. Umri unatutupa alafu tupo kwa wazazi, maaha hata madogo myumbani yanaona tunalingana
Khakhakhaaaa! Kupatwa kwa mzabzab![emoji1787]
Hahaahahaaa!Alafu jobless mwenzangu kumbe una hela hata ya kuhudumia mimba!
Vipi hujasimangwa mjomba?? Nawewe fanya hio isiwe tabu kama Mwenzio mjomba [emoji16][emoji1783][emoji1783][emoji1783] Itakuwa kasimangwa sana nyumbani, kaona isiwe tabu
Hamna ata demu mmoja kaja pm. Ni mkosi kwa kwenda mbeleBila shaka Ushapata mwongozo!
All the bests mkuu!
Huyu anataka mke. Mie sina shida ya mke broo....nataka mwanamke wakuzaa naeView attachment 2381632Kuna pacha wako huku....