Natafuta mwanamke wa kuzaa naye

Ngoja nimuulize jirani yangu hapa nae alikuwa anataka mwanaume wa kumpa mimba tu
 
bado unadhihirisha ujinga wako. circumstances zipi katika maisha hazina stress? Hivi unajua stress za kuzaa nje au kuzaa hovyo na mwanamke usiye na commitment naye?

zaa tu kama mbwa ndipo utajua maana halisi ya stress
Ni kweli usemalo....kila kitu kina stress zake na kila mtuu anachagua ipi anaweza imudu.
Stress za ndoa mie siwezi kumudu maana nitakuwa naishi maisha ya kujificha ficha sasa hapo nakosa uhuru
 
Kweli Umemaliza kila kitu nzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ