Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Hizi hofu ndio zinawaua wanaume mapema kwa kuogopa yajayo badala ya kuangalia sasa hivi namna ya kuweka miundombinu itakayomwezesha mtoto kusoma bila shida, wewe mpigie pande tu mkuu itajulikana mbele kwa mbeleUmepiga mahesabu fresh maana unapostaafu na 60 mwanao atakuwa form five Ivo six na college atasomea kiinua mgongo