Natafuta mwanamke wa ndoa

Mkwezi1987

Member
Joined
Nov 12, 2017
Posts
5
Reaction score
12
Hello wana JF,

Naitwa B, umri wangu 32, nipo Mwanza, dini Mkristu.

Natafuta mke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo;
Umri kuanzia 23 na kuendelea, elimu kidato cha nne na kuendelea, mwenye akili na utayari wa kuishi na mume, mwenye hofu ya Mungu.

Karibu PM kwa mawasiliano zaidi.
 
Sofa?😅

Wanawake wanaoutumia huu mtandao (JF), wengi wao hawaoleki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…