Natafuta mwanamke wa ndoa

Natafuta mwanamke wa ndoa

Mkwezi1987

Member
Joined
Nov 12, 2017
Posts
5
Reaction score
12
Hello wana JF,

Naitwa B, umri wangu 32, nipo Mwanza, dini Mkristu.

Natafuta mke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo;
Umri kuanzia 23 na kuendelea, elimu kidato cha nne na kuendelea, mwenye akili na utayari wa kuishi na mume, mwenye hofu ya Mungu.

Karibu PM kwa mawasiliano zaidi.
 
Hello Wana jf

Naitwa B ,umri wangu 32,nipo Mwanza,dini mkristu,natafuta mke wa kuoa mwenye sofa zifuatazo

Umri kuanzia 23nakuendelea,elimu kidato Cha nne nakuendelea,mwenye akili na utyr wa kuishi na mume,mwenye hofu ya Mungu.

Karibu pm kwa mawasiliano zaidi
Sofa?😅

Wanawake wanaoutumia huu mtandao (JF), wengi wao hawaoleki
 
Back
Top Bottom