Natafuta Mwanaume wa kubadilisha naye mawazo

Joined
Aug 7, 2026
Posts
6
Reaction score
33
Vigezo vya mwenza ninayemtafuta:
  • Awe na watoto wasiozidi wawili.
  • Awe na umri kati ya miaka 35 hadi 45.
  • Awe na kazi au chanzo cha kipato cha kumwezesha kunihudumia.
  • Awe mkazi wa Dar es Salaam.
  • Awe mtu mwenye heshima, upole na tabia njema (gentle).
Hatutarajii kufunga ndoa, bali atakuwa akija kwangu na kuondoka.
 
Yaani kubadilishana mawazo tu unataka kulipwa.
 

Nakuombea kila la kheri...kama nina miaka 55 sifai?
 
Binti weka uzi wako vizuri. Maana kubadilishana mawazo tu ndiyo uanze kumpangia mwenzio idadi ya watoto aliokuwa nao mbona ni irrelevant.
Sema unatafuta mume na upo tayari kuwa mke wa pili.
Kama upo tayari kuwa mke wa pili naweza kukusaidia ikiwa utakuwa umekidhi vigezo vifuatavyo;
1. Uwe tayari kwenda kupima magonjwa yote ya zinaa

2. Uwe na chanzo cha uhakika cha kipato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…