Natafuta Mwanaume wa kubadilisha naye mawazo

Natafuta Mwanaume wa kubadilisha naye mawazo

Acha ujinga yaani kubadilishana tu mawazo mpaka awe na vigezo, afu et awe anakuja kwako na kuondoka we sema unataka mwanaume wa KUTOA-MBANA nae full stop!. Acha kuzunguka humu siyo fesibuku
687d1d6aab4490ef63751ef7af37d1c4.jpg
 
Vigezo vya mwenza ninayemtafuta:
  • Awe na watoto wasiozidi wawili.
  • Awe na umri kati ya miaka 35 hadi 45.
  • Awe na kazi au chanzo cha kipato cha kumwezesha kunihudumia.
  • Awe mkazi wa Dar es Salaam.
  • Awe mtu mwenye heshima, upole na tabia njema (gentle).
Hatutarajii kufunga ndoa, bali atakuwa akija kwangu na kuondoka.
Badilisha heading basi ili isomeke kwamba unatafuta mwanaume wa kukuondolea upwiru na siyo kubadilisha mawazo!
 
Vigezo vya mwenza ninayemtafuta:
  • Awe na watoto wasiozidi wawili.
  • Awe na umri kati ya miaka 35 hadi 45.
  • Awe na kazi au chanzo cha kipato cha kumwezesha kunihudumia.
  • Awe mkazi wa Dar es Salaam.
  • Awe mtu mwenye heshima, upole na tabia njema (gentle).
Hatutarajii kufunga ndoa, bali atakuwa akija kwangu na kuondoka.
  • Awe na kazi au chanzo cha kipato cha kumwezesha kunihudumia.
  • Awe mkazi wa Dar es Salaam.

Sawasawa
 
Back
Top Bottom