Nasubiri huko uniconnect tu, nishapanga mabegi kabisa💃🏽Nicheki sasa ushakuwa wifi😹
Angeweka hata ua la rozi lenye v shapeAcha utoto!
Wengiiii😹Kumejaa matapeli sio🤣
Akinogewa mzigo,asilale?Vigezo vya mwenza ninayemtafuta:
Hatutarajii kufunga ndoa, bali atakuwa akija kwangu na kuondoka.
- Awe na watoto wasiozidi wawili.
- Awe na umri kati ya miaka 35 hadi 45.
- Awe na kazi au chanzo cha kipato cha kumwezesha kunihudumia.
- Awe mkazi wa Dar es Salaam.
- Awe mtu mwenye heshima, upole na tabia njema (gentle).
Haaaaaaaaaaaah hawezi mwanaume anayemtaka labda awe fala au kibentenSo hilo Sharti gumu au????
Wahii fursa hioooo
Hapana... Mtego huo...So hilo Sharti gumu au????
Wahii fursa hioooo
Umemuaga secretarybird au ushapiga chini huyo ndege😂😂wa kudonoa donoaNasubiri huko uniconnect tu, nishapanga mabegi kabisa💃🏽
Malengo ni kulenga familia tu?Hawana maana wao ni kulombana tu na siyo kujenga familia
Tupo tumejaa wanaumee!Au unao unigawie mdogo wangu😁
Tuongeze umakini aisee😁Wengiiii😹
Tena awe msiri wako wa ndani na siyo wa kuja na kuondokani vizuri kuwa na mtu wa kumuelezea mambo yako msiri wako usije ukafa kabla ya wakati
Wewe mbona ukikuwa unataka kufikia kwangu? Nawe ni fala au kibenten?Haaaaaaaaaaaah hawezi mwanaume anayemtaka labda awe fala au kibenten
NdiyoMalengo ni kulenga familia tu?
Ni mwelewa sana achana naye hebu tuongee mambo ya msingi😅Umemuaga secretarybird au ushapiga chini huyo ndege😂😂wa kudonoa donoa
Mimi siyo fala wala kibenten maana najitambuaWewe mbona ukikuwa unataka kufikia kwangu? Nawe ni fala au kibenten?
Mbona hamuonekani mpaka muanzishiwe nyuzi shida nini?Tupo tumejaa wanaumee!
Tena wa hali ya juuTuongeze umakini aisee😁