Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Wamefeli sio?😁Mnaotamani sisi tuachane mtaumia sana.
Wamefeli sio?😁Mnaotamani sisi tuachane mtaumia sana.
Naangalia muvi baba mtakatifu😁Ulienda wapi au kususu
Ooooh kumbee muvi ganiNaangalia muvi baba mtakatifu😁
Wameshindwaa!!🤸🏽♂️Tutadumu kwa miaka 7000.
Nyambafu zao!
LuckyOoooh kumbee muvi gani
Mtaachana tu 🤣🤣🤣🤣Mnaotamani sisi tuachane mtaumia sana.
Mamnyang'ode, mbona tunabadilisha mawazo kila siku ?Ukipata wawili nigawie mmoja!🤸🏽♂️
Hisia zako tuMwanamke kukuanza ni mtego
Kwahiyo mallerina unataka wote tuteseke kwenye mapenzi kama nyie😁Mtaachana tu 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣 kama hauna D mbili ni ngumu kufungua hiyo code bwasheeYaani kubadilishana mawazo tu unataka kulipwa.
Ba mnyagode ile kitu ni mbayaa daily naamka mpya😎Mamnyang'ode, mbona tunabadilisha mawazo kila siku ?
Nataka niteseka na ww😂Kwahiyo mallerina unataka wote tuteseke kwenye mapenzi kama nyie😁
Leo hatuendi kuchuja nafakaa?Ba mnyagode ile kitu ni mbayaa daily naamka mpya😎
Sijapenda!! We bado una muda mwenzio muda hautoshii🙆🏽♀️Nataka niteseka na ww😂
Sasa hapo mbona kama wewe ndo unatakiwa uwe na chanzo cha fedha za kumuhudumia?Vigezo vya mwenza ninayemtafuta:
Hatutarajii kufunga ndoa, bali atakuwa akija kwangu na kuondoka.
- Awe na watoto wasiozidi wawili.
- Awe na umri kati ya miaka 35 hadi 45.
- Awe na kazi au chanzo cha kipato cha kumwezesha kunihudumia.
- Awe mkazi wa Dar es Salaam.
- Awe mtu mwenye heshima, upole na tabia njema (gentle).