Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Kila mmoja ana malengo yake!Ndiyo
Kila mmoja ana malengo yake!Ndiyo
Wewe ni nani?Mimi siyo fala wala kibenten maana najitambua
Kabisaa!!Tena wa hali ya juu
Kweli wewe ni baba mtakatifuMbona picha ya ndizi na donut
Kabisa kaka siri za marafiki walioshibana huwa vyema sana na ziwe baina yenu ,kuna wakati life inakuletea mapichapicha unatakiwa uwe na msiri wako unatafuta wa kumwambia akushauri au mtu tu akusikilize ,nzuri hiyoTena awe msiri wako wa ndani na siyo wa kuja na kuondoka
Mimi sikutoa taarifa kama ya mleta mada nilieleza hisia zangu kwa mtu nimpendaye bhn na lazima ningechukua jukumu kama mfalme kuteka himaya ya malkiaWewe ni nani?
Sitaki kuolewa😁Kwanini usitafute wa kuolewa naye kuliko wa kubadilishana naye mawazo? Huoni unapoteza muda
Una mistari moto moto🔥😹lazima ningechukua jukumu kama mfalme kuteka himaya ya malkia
Bado najifunzaUna mistari moto moto🔥😹
Sasa mbona pm hufungui tokea jana !Vigezo vya mwenza ninayemtafuta:
Hatutarajii kufunga ndoa, bali atakuwa akija kwangu na kuondoka.
- Awe na watoto wasiozidi wawili.
- Awe na umri kati ya miaka 35 hadi 45.
- Awe na kazi au chanzo cha kipato cha kumwezesha kunihudumia.
- Awe mkazi wa Dar es Salaam.
- Awe mtu mwenye heshima, upole na tabia njema (gentle).
Kila la heriSitaki kuolewa😁
Mnaotamani sisi tuachane mtaumia sana.Umemuaga secretarybird au ushapiga chini huyo ndege😂😂wa kudonoa donoa
Duhh sawaa 😀Mimi sikutoa taarifa kama ya mleta mada nilieleza hisia zangu kwa mtu nimpendaye bhn na lazima ningechukua jukumu kama mfalme kuteka himaya ya malkia
Vigezo vya mwenza ninayemtafuta:
Hatutarajii kufunga ndoa, bali atakuwa akija kwangu na kuondoka.
- Awe na watoto wasiozidi wawili.
- Awe na umri kati ya miaka 35 hadi 45.
- Awe na kazi au chanzo cha kipato cha kumwezesha kunihudumia.
- Awe mkazi wa Dar es Salaam.
- Awe mtu mwenye heshima, upole na tabia njema (gentle).
DMUna watoto wangap?.
unakaa Dsm sehem gan?.
Ulienda wapi au kususuDuhh sawaa 😀