Natafuta Mwanaume wa kubadilisha naye mawazo

Natafuta Mwanaume wa kubadilisha naye mawazo

Vigezo vya mwenza ninayemtafuta:
  • Awe na watoto wasiozidi wawili.
  • Awe na umri kati ya miaka 35 hadi 45.
  • Awe na kazi au chanzo cha kipato cha kumwezesha kunihudumia.
  • Awe mkazi wa Dar es Salaam.
  • Awe mtu mwenye heshima, upole na tabia njema (gentle).
Hatutarajii kufunga ndoa, bali atakuwa akija kwangu na kuondoka.
Kwa tz nimehakikisha hamna ushirikiano wa namna hiyo,kwani wao hata maana ya Uzalendo hawalijui!
 
Vigezo vya mwenza ninayemtafuta:
  • Awe na watoto wasiozidi wawili.
  • Awe na umri kati ya miaka 35 hadi 45.
  • Awe na kazi au chanzo cha kipato cha kumwezesha kunihudumia.
  • Awe mkazi wa Dar es Salaam.
  • Awe mtu mwenye heshima, upole na tabia njema (gentle).
Hatutarajii kufunga ndoa, bali atakuwa akija kwangu na kuondoka.
Kwanini akuhudumie? Kwani kubadilishana mawazo unalipisha? Mawazo hayo unayolipisha ni adimu sana au ni prostitution in disguise?
 
Umri umenikwamisha mimi kijana barobaro ataniharibia uvulana wangu 😅
Na nyie wavulana siku hizi mna hofu ya kuharibiwa uvulana wenu?,basi hongera sana,pia mbegu zako ni za thamani sana acha kuzipoteza na kuzitupa vyooni!,zamani kuna waliopiga mahesabu,goli moja ni sana na nguvu ya kutembea kilometer 10,linda mbegu zako!
1000009760.png
 
Yaani kubadilishana mawazo tu unataka kulipwa.
Hata mimi nimeshangaa sana. Kichwa cha habari na undani wa habari tofauti kabisa! Huu ni mfano halisi wa GOLD DIGGER.

Shida yake sio kubadilishana mawazo bali KUTUNZWA NA KUGHARAMIWA MAISHA!!!

Wanawake wamekuwa matapeli sana zama hizi!!
 
Vigezo vya mwenza ninayemtafuta:
  • Awe na watoto wasiozidi wawili.
  • Awe na umri kati ya miaka 35 hadi 45.
  • Awe na kazi au chanzo cha kipato cha kumwezesha kunihudumia.
  • Awe mkazi wa Dar es Salaam.
  • Awe mtu mwenye heshima, upole na tabia njema (gentle).
Hatutarajii kufunga ndoa, bali atakuwa akija kwangu na kuondoka.
Kisha mmbadilishane......vinginee
 
Daah tunategwa na mitego kila kona mzigo huo nauangalia tu kisa mbele kaweka miba...
 
Back
Top Bottom