MgosiMnubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2022
- 1,836
- 3,153
Sisi wa MIKOANI tunapita Kama tunaaga maiti
Kila la kheri bibie
Kila la kheri bibie
Nimeona hivyoKwani nimetumia nguvu sana?
Pole sana!Nimeona hivyo
Wewe ni beutiful bhn mpaka unaanzishiwa nyuzi sio mchezoPole sana!
Naanzishiwa na nani?Wewe ni beutiful bhn mpaka unaanzishiwa nyuzi sio mchezo
Gentle man hawezi kufanya huo usengèVigezo vya mwenza ninayemtafuta:
Hatutarajii kufunga ndoa, bali atakuwa akija kwangu na kuondoka.
- Awe na watoto wasiozidi wawili.
- Awe na umri kati ya miaka 35 hadi 45.
- Awe na kazi au chanzo cha kipato cha kumwezesha kunihudumia.
- Awe mkazi wa Dar es Salaam.
- Awe mtu mwenye heshima, upole na tabia njema (gentle).
Aliyeoa anapokelewa?Vigezo vya mwenza ninayemtafuta:
Hatutarajii kufunga ndoa, bali atakuwa akija kwangu na kuondoka.
- Awe na watoto wasiozidi wawili.
- Awe na umri kati ya miaka 35 hadi 45.
- Awe na kazi au chanzo cha kipato cha kumwezesha kunihudumia.
- Awe mkazi wa Dar es Salaam.
- Awe mtu mwenye heshima, upole na tabia njema (gentle).
KaribuAliyeoa anapokelewa?
Sio gentleman,,weweGentle man hawezi kufanya huo usengè
Ulijua umeokota dodo 😹😹Mawazo yame geuka kuwa huduma ooh my!
Ukiona zoezi linakua gumu waone hawa wazee wenzangu @Watu8 na @ERoni watakupa muongozo na hautajuta.