Natafuta Mwanaume wa kubadilisha naye mawazo

Natafuta Mwanaume wa kubadilisha naye mawazo

Vigezo vya mwenza ninayemtafuta:
  • Awe na watoto wasiozidi wawili.
  • Awe na umri kati ya miaka 35 hadi 45.
  • Awe na kazi au chanzo cha kipato cha kumwezesha kunihudumia.
  • Awe mkazi wa Dar es Salaam.
  • Awe mtu mwenye heshima, upole na tabia njema (gentle).
Hatutarajii kufunga ndoa, bali atakuwa akija kwangu na kuondoka.
Watoto wasiozidi wawili wanahusikaje kwenye "kubadilishana mawazo". Shadeeya nikwamue
 
Back
Top Bottom