Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Hii inaitwa PPV, au pay per view!, aweze kukuhudumia!?....labda nikijisikia nije nakamua nalipa nasepa,baada ya wiki tena,na Tena na TenaVigezo vya mwenza ninayemtafuta:
Hatutarajii kufunga ndoa, bali atakuwa akija kwangu na kuondoka.
- Awe na watoto wasiozidi wawili.
- Awe na umri kati ya miaka 35 hadi 45.
- Awe na kazi au chanzo cha kipato cha kumwezesha kunihudumia.
- Awe mkazi wa Dar es Salaam.
- Awe mtu mwenye heshima, upole na tabia njema (gentle).