Natafuta mwanaume wa kunioa 2024

Natafuta mwanaume wa kunioa 2024

Mungu Atutangulie KWa kua umefungua dirisha basi ikaingie hewa Safi wasiingie na nazi maana ma opportunistic nao wamo
 
Habari za humu jf
Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:Chagga
Elim Diploma
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)

Sina mtoto wala sijawah kuolewa, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa mbali)sio mnene wala mwembamba pia sio mfupi wala mrefu(wastani)

Sifa za mwanaume
Umri kuanzia miaka 36 hadi 45 awe na hofu ya Mungu ,mkweli na mwenye upendo
Awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato, akiwa na mtoto asizidi mmoja, kabila lolote , dini Mkristo ila sio Sabato zaid awe mpambanaji(mtafutaji)Karibu pm tuyajenge niko tayari kuwa mke.
Njoo pm miaka yangu hii Cc ephen_
 
Back
Top Bottom