Mkuu jiongeze tafuta pump ya solar au Anza na mtaji ulionao jaribu kuvuna maji ya mvua, Nduruma mara nyingi ni maeneo yanaoyaoata mvua nyingi, tafuta mbinu za kuvuna maji ya mvua ambazo ni gharama chee Sana inaweza tumia makaratasi ya nairon au mitaro.Napatikana Arusha, shamba liko maeneo ya Nduruma. Shamba liko full drip kwa ajili ya irrigation nahitaji mtu tutakayeingia ubia tufanye kazi ya kilimo pamoja .
Tunatumia diesel kujaza maji kwenye bwawa. Bwawa lina uwezo wa kuingia maji lita ml 1.2 maji yakatokea kwenye kisima mita 107. So gharama za kuvuta maji kuweka kwenye bwawa ni kubwa.
Kujaza bwawa ni gharama Kati ya 500k, kwa msimu ni kama ml 3 . Kuna mahali pa kukaa kwahyo hamna safari ya kwenda na kurudi.
Hapo hujaingiza gharama za kulima na madawa. Kama upo tayari na kilimo hichi michelin kwenye .
Dm me for more info.
Huko kusini tunafanya hivo ili kupata maji Kwa ajili ya kupigia dawa kwenye mikorosho.
Fanya research ingia YouTube na site nyingine utapata majibu