Natafuta mwekezaji katika shamba langu heka 10 mkoa wa Arusha

Natafuta mwekezaji katika shamba langu heka 10 mkoa wa Arusha

Napatikana Arusha, shamba liko maeneo ya Nduruma. Shamba liko full drip kwa ajili ya irrigation nahitaji mtu tutakayeingia ubia tufanye kazi ya kilimo pamoja .

Tunatumia diesel kujaza maji kwenye bwawa. Bwawa lina uwezo wa kuingia maji lita ml 1.2 maji yakatokea kwenye kisima mita 107. So gharama za kuvuta maji kuweka kwenye bwawa ni kubwa.

Kujaza bwawa ni gharama Kati ya 500k, kwa msimu ni kama ml 3 . Kuna mahali pa kukaa kwahyo hamna safari ya kwenda na kurudi.

Hapo hujaingiza gharama za kulima na madawa. Kama upo tayari na kilimo hichi michelin kwenye .

Dm me for more info.

Mkuu jiongeze tafuta pump ya solar au Anza na mtaji ulionao jaribu kuvuna maji ya mvua, Nduruma mara nyingi ni maeneo yanaoyaoata mvua nyingi, tafuta mbinu za kuvuna maji ya mvua ambazo ni gharama chee Sana inaweza tumia makaratasi ya nairon au mitaro.
Huko kusini tunafanya hivo ili kupata maji Kwa ajili ya kupigia dawa kwenye mikorosho.
Fanya research ingia YouTube na site nyingine utapata majibu
 
Ni kwl mashamba yapo ya kumwaga bie kama sikosri ni 100k kwa heka ukibahatika lenye kupita mferiji

Mengi hayafiki kama hii langu mvereji uko mbaaali sna so nimechimba kisima
wapi? nimeona vijiji mkoa gani?
 
We mwizi tafuta shughuli halali yakukuingizia kipato. Wana-JF nikiwa ni mzawa wa Nduruma nawataadharisha sana na huyu jizi.....
Binafsi leo baada yakusoma huu uzi nikaamua kwenda kuona Hilo shamba japo nichangamoto kupata usafiri wa Hadi nduruma.

Nimefika nduruma na nikaulizia hicho Kijiji Cha mwandeti nikaambiwa nauli n 5000 sema nikagaili kufika huko sababu usafiri n pikipiki namie jinsi nilivyokuwa sikuwa rafiki kupanda pikipiki.

Hvyo Mambo mengine uwe unapiga hv hata kama huko n kwenu jifunze kuheshimu wageni ndio wanawaletea maendeleo.

Sijafika shamba hvyo sijui chochote kuhusu huo mradi ila Kijiji kipo na Kuna mashamba kwa mujibu wa wanakijiji niliowapata pale nduruma
 
Alooo asante sna kwa msaada wako huyu jamaaa alikua anajaribu kuwapoteza

Wabongo wengi social media wana abuse

Sijui hata huwa wanafikiria... Mm nia ilikua nikuoata mtu wa kusaidiana nae kwny shamba

Nikupe hongera pia kwa kufika mpk hapo yaonesha jinsi gani umechukua hatua ukajua kijiji kipo

Jana nilikua huku ningekupeleka ukapaone

Ila until umeme tumeupata mafuta ni mtihani so tumechukua break

Kwa wengine watanzania wenzangu kueni na third eye ya kuchunguza sio kuchukua maneno ya watu hawa watu hawana kazi zaid ya kuchafua watu

Sante sna bro for u info

Sent from my SKR-H0 using JamiiForums mobile app
 
Aisee boss Sudysmile vipi kukodi hilo lako unaachia heka ngapi kati ya 10 nabei yako ipoje?
Mm niko flexible heka yote naweza nikakupa ila lazima nikupe kijana wa kuweza kurun mashine zetu as zinaitaji kubadil oil kila masaa 50 zije zikaharibika

Tunaweza kukodisha kwa msimu ni maelewano t

If ur really serious sio yani serious yan deadly serious tunaweza tunaweza tukakukodishia

Sent from my SKR-H0 using JamiiForums mobile app
 
Hizi ndo mashine tunatumia kupandisha maji na nyingine ya kupeleka maji shambani kutokea kwny bwawa kama huku juu nilivituma shamban
IMG_20210815_223516.jpg

Sent from my SKR-H0 using JamiiForums mobile app
 
Kaka mimi ni mwenyeji wa maeneo hayo Mkuu, hakuna eneo linaloitwa mwandeti! Ukifika unguuni, kuna options tatu tu; ukishuka/ukinyooka na barabara utaelekea Bwawani/Luisi, ukikunja kulia (kwenye tank/kwa dada) utaeleka Lokii/kichangani, na ukikunja kushoto, utaelekea Marurani/maji moto.

Sasa Mkuu hiyo Mwandeti unayoisemea iliyopo Unguuni ni ipi Mkuu???
Umeona bro watu wamefika nduruma stand na wameuliza mwandeti ipo

Ndo ujifunze kua mwnyji sio kila sehem utaijua

Be hamble next tym kama waona huelewi kitu ka kimya fanya uchunguzi then approch mtu kwa unidham sio kuita watu wezi

Sent from my SKR-H0 using JamiiForums mobile app
 
Ni chini ya mashamba ya maua unashuka mpk stand ya haisi unazid shuka kama waelekea bwani bro ndo napatikana huko
Sasa hilo shamba lako lipo kata ya Bwawani sio Nduruma. mimi ndio kazini kwangu huku (mwalimu). Umekwama wapi mkuu kuliendesha mkuu? kilimo huku kinalipa sana na kama shamba lina irrigation system ndio kabisa.
 
Umeona bro watu wamefika nduruma stand na wameuliza mwandeti ipo

Ndo ujifunze kua mwnyji sio kila sehem utaijua

Be hamble next tym kama waona huelewi kitu ka kimya fanya uchunguzi then approch mtu kwa unidham sio kuita watu wezi

Sent from my SKR-H0 using JamiiForums mobile app
Mwandeti ni kitongoji kilichopo kijiji cha bwawani kata ya Bwawani. sasa ulikosea uliposema ni Nduruma, kwani Nduruma ni kata nyingine nje ya bwawani. ila umeeleweka kiongozi.
 
Napatikana Arusha, shamba liko maeneo ya Nduruma. Shamba liko full drip kwa ajili ya irrigation nahitaji mtu tutakayeingia ubia tufanye kazi ya kilimo pamoja .

Tunatumia diesel kujaza maji kwenye bwawa. Bwawa lina uwezo wa kuingia maji lita ml 1.2 maji yakatokea kwenye kisima mita 107. So gharama za kuvuta maji kuweka kwenye bwawa ni kubwa.

Kujaza bwawa ni gharama Kati ya 500k, kwa msimu ni kama ml 3 . Kuna mahali pa kukaa kwahyo hamna safari ya kwenda na kurudi.

Hapo hujaingiza gharama za kulima na madawa. Kama upo tayari na kilimo hichi michelin kwenye .

Dm me for more info.

Shamba linavutia mkuu,
Je unauzoefu kwenye hizi shughuli au ndio unaanza..?
Unakubali partner zaidi ya mmoja?..
Minimum Capital ya kuinject ni kiasi gani?..
Nauliza kwa niaba ya wenye interest..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Sasa hilo shamba lako lipo kata ya Bwawani sio Nduruma. mimi ndio kazini kwangu huku (mwalimu). Umekwama wapi mkuu kuliendesha mkuu? kilimo huku kinalipa sana na kama shamba lina irrigation system ndio kabisa.
CC @Sudysmile
 
Hapo uko sawa kabisa mm sio mkazi wa hapo mm ni wakuja so kuchanganya mafile inatokea

Uzur watu weliofikia stand wakaulizia wakaambia mwandeti panafikia yote ni kheri na afadhi

Mafuta mafuta ndo imekua changamoto mkuu kisima ni kirefu na lazima uweke kwnyw bwawa then mashine moja ipeleke shamban

Ss kwnyw kujaza bwana ndo ushetani kwani bwaww lina ingiaa lt ml 1.2 kujaza ni kama 600k afu unaweza ukatumia kunyeshea siku 3 kwa hk zote

Ilinibini nipige break nitafute tanesco...uzur walikuja wamepima wameniambia niwape mda wakusanye nguvu soon wataleta

Sent from my SKR-H0 using JamiiForums mobile app
 
Shamba linavutia mkuu,
Je unauzoefu kwenye hizi shughuli au ndio unaanza..?
Unakubali partner zaidi ya mmoja?..
Minimum Capital ya kuinject ni kiasi gani?..
Nauliza kwa niaba ya wenye interest..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Wakiwa wawil itakua vzr ili divisification ya profit isiwe kuuubwa ila tukisema tulipige lote na watu waka inject kiasi kikubwa niko okay kabxa

Ila set back ya mafuta tukikaa tukaitatua na watu mkawa okay na cost zake then tunalima bila tatizo

Ndo maana plan B nimetafuta tanesco waanze mchakato mapema... Ila kwa wale watakao kua tayari kuchukua fursa bila kusubir umeme they are welcome

Sent from my SKR-H0 using JamiiForums mobile app
 
Mwandeti ni kitongoji kilichopo kijiji cha bwawani kata ya Bwawani. sasa ulikosea uliposema ni Nduruma, kwani Nduruma ni kata nyingine nje ya bwawani. ila umeeleweka kiongozi.
Yap nimeelewa nililosea mkuu ningefurah kuambia vzr ila sio kuitwa mwizi ilikua sio poa..uzur kuna mdau alifika na kuuliza heyo sehem akaambia panafikika all is well

Next time ntakua makini

Sante sna

Sent from my SKR-H0 using JamiiForums mobile app
 
Huko Nduruma mashamba ya kukodi pia ni mengi sana, hata mkishindwana na jamaa on ana na serikali ya kijiji u kodi mashamba yako. Ardhi ni kubwa huko
Wanakodishaje mkuu
Na nikitaka kununuua bei zipoje
 
Hongera sana mwamba ndo uthubutu huo...
Nami nalima Nduruma (kibao cha shule ya msingi Nduruma). Tembelea insta faby_mollel tuyajenge
Kibao Cha Shule ndo wapi?

Mpaka ufike nduruma au?

Naomba kujua Mana natafuta sehemu Kuna maji mengi hasa mto themi unapopita kwa mujibu wa wananzengo
 
Back
Top Bottom