Natafuta mwenza (mume)

Natafuta mwenza (mume)

Status
Not open for further replies.
Utakuwa una gundu hasa. Ni nadra sana kwa tangazo la mwanamke kutafuta mwenza likachukua masaa bila wachangiaji. Toka saa tano asubuhi watu wamelilia bati.

Anyways umeruka kipengele cha muhimu sana katika maelezo yako, hujasema kama una chura. Maana kama ni flat screen basi wewe ni 'mkuu' tu kama sisi.
Bila ya chura tubishane kuhusu mpira na kubet tu.
Mkuu heshima kwako, sifa ya mwanamke kwa dunia ya sasa ni chura
 
Mimi nimeoa, unataka taarifa gani nyingine nikupe
Nilishangaa hujafungiwaga nilishtuka maana ningekushtaki ila siku hizi sikupendi kama zamani unamaandishi Yako yananikera zamani ilikuwa nikiona unacomment mahali najawa na upendo saivi sijui najawa na Nini??
 
Utanipendaje mume wa mtu?
Mimi sitaki kupendwa na mtu yoyote humu
 
Hello JF users.Niko jukwaani kutafuta mwenza(mume)

Sifa zangu;

Jinsia- mwanamke
Dini-mkristo
Umri-30+ yrs
Elimu-Degree moja
Mtoto-Mmoja 10 yrs
Ajira-Niko private sector

Ninayemuhitaji awe Mkristo;
32-40yrs
Awe na kazi halali
Asiwe kwenye ndoa kwa sasa
Awe muelewa na utayari wa kuingia kwenye uhusiano wa kuelekea ndoa.

Elimu ya chuo kikuu(itapendeza)

Nb:Siko Dar es salam niko mkoani.

Karibuni Pm au email appletofaa95@gmail.com

Cheers!
Chura muhimu mama kama ipo basi nakuja
 
Utanipendaje mume wa mtu?
Mimi sitaki kupendwa na mtu yoyote humu
Hujawahi kujua eh Kuna upendo wa mapenzi na upendo wa agape Kama hujui Sasa mie siwezi kukupenda kimapenzi hata siku Moja hasara unayotu Tena nyingi .

Kubwa umeoa mie sipendagi vilivyotumika unajua hata mwanaume mwenye mtoto njee siolewi naye .
 
Nilishangaa hujafungiwaga nilishtuka maana ningekushtaki ila siku hizi sikupendi kama zamani unamaandishi Yako yananikera zamani ilikuwa nikiona unacomment mahali najawa na upendo saivi sijui najawa na Nini??
Sio kunipenda tu hata kuniquote na mention...unaweza kuacha pia
 
Hujawahi kujua eh Kuna upendo wa mapenzi na upendo wa agape Kama hujui Sasa mie siwezi kukupenda kimapenzi hata siku Moja hasara unayotu Tena nyingi .

Kubwa umeoa mie sipendagi vilivyotumika unajua hata mwanaume mwenye mtoto njee siolewi naye .
Naongeza sauti...nimeoa na usinipende tena
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom