Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Hebu tumuache dada apate mume, hiyo list yako hakuna muoaji wapo wote wanalea😀😀😀😀thubutu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu tumuache dada apate mume, hiyo list yako hakuna muoaji wapo wote wanalea😀😀😀😀thubutu
Mkuu heshima kwako, sifa ya mwanamke kwa dunia ya sasa ni churaUtakuwa una gundu hasa. Ni nadra sana kwa tangazo la mwanamke kutafuta mwenza likachukua masaa bila wachangiaji. Toka saa tano asubuhi watu wamelilia bati.
Anyways umeruka kipengele cha muhimu sana katika maelezo yako, hujasema kama una chura. Maana kama ni flat screen basi wewe ni 'mkuu' tu kama sisi.
Bila ya chura tubishane kuhusu mpira na kubet tu.
Tamuee?🤣Ila hii kitu hiii
Mimi nimeoa na nina mapacha wengi hatari😀😀😀😀thubutu
Inadepend na unaeenda nae😀😀😀Tamuee?🤣
Nilishangaa hujafungiwaga nilishtuka maana ningekushtaki ila siku hizi sikupendi kama zamani unamaandishi Yako yananikera zamani ilikuwa nikiona unacomment mahali najawa na upendo saivi sijui najawa na Nini??Mimi nimeoa, unataka taarifa gani nyingine nikupe
Utanipendaje mume wa mtu?Nilishangaa hujafungiwaga nilishtuka maana ningekushtaki ila siku hizi sikupendi kama zamani unamaandishi Yako yananikera zamani ilikuwa nikiona unacomment mahali najawa na upendo saivi sijui najawa na Nini??
Chura muhimu mama kama ipo basi nakujaHello JF users.Niko jukwaani kutafuta mwenza(mume)
Sifa zangu;
Jinsia- mwanamke
Dini-mkristo
Umri-30+ yrs
Elimu-Degree moja
Mtoto-Mmoja 10 yrs
Ajira-Niko private sector
Ninayemuhitaji awe Mkristo;
32-40yrs
Awe na kazi halali
Asiwe kwenye ndoa kwa sasa
Awe muelewa na utayari wa kuingia kwenye uhusiano wa kuelekea ndoa.
Elimu ya chuo kikuu(itapendeza)
Nb:Siko Dar es salam niko mkoani.
Karibuni Pm au email appletofaa95@gmail.com
Cheers!
Hujawahi kujua eh Kuna upendo wa mapenzi na upendo wa agape Kama hujui Sasa mie siwezi kukupenda kimapenzi hata siku Moja hasara unayotu Tena nyingi .Utanipendaje mume wa mtu?
Mimi sitaki kupendwa na mtu yoyote humu
Sio kunipenda tu hata kuniquote na mention...unaweza kuacha piaNilishangaa hujafungiwaga nilishtuka maana ningekushtaki ila siku hizi sikupendi kama zamani unamaandishi Yako yananikera zamani ilikuwa nikiona unacomment mahali najawa na upendo saivi sijui najawa na Nini??
Mimi mwenyewe karibuni natoka kwenye hili group la MLEVi Mmoja 😅😅😅Lakini umenikosea kiasi kuniweka kati na Mzee wa kupambania na MLEVi Mmoja 😂😂😂😂
Extrovert kunakosea wapi kaka hadi
Amehlo atutafutie mke?
Naongeza sauti...nimeoa na usinipende tenaHujawahi kujua eh Kuna upendo wa mapenzi na upendo wa agape Kama hujui Sasa mie siwezi kukupenda kimapenzi hata siku Moja hasara unayotu Tena nyingi .
Kubwa umeoa mie sipendagi vilivyotumika unajua hata mwanaume mwenye mtoto njee siolewi naye .
Niliachaga Ile siku uliponiona kichaa Fulani watu wanionee hurumaSio kunipenda tu hata kuniquote na mention...unaweza kuacha pia
Nimeacha tokea juziNaongeza sauti...nimeoa na usinipende tena
Nafikiri ule ulevi wako unaokusumbua unakutosha🤣Mimi mwenyewe karibuni natoka kwenye hili group la MLEVi Mmoja 😅😅😅