Natafuta Partner wa kutoka naye siku ya WHITE PARTY!!!!!!!!

Last edited by a moderator:
lakini si tulikubaliana mnitumie ticket ya fastjet! na booking confirmation ya rum!!!!
au yanakushinda!?!?!?!?! makubwa?!?!?!
bora nibaki kwa mjeda wangu ........
cc: Mtambuzi

Wewe acha kuleta mapozi yako! Unajua bahati uliyoipata kuongea na mimi!? Chezea tu!
 
Last edited by a moderator:
Filipo hakufai eti anasema yeye hamuwezi muacha kisa ana mautamu weee bora ubakie na mjeda wako
aku....thitaki!



mshangae kabisa.......yani nachapa lapa hapa sitaki hata kufanyanae hicho kitu! manoah si heri nibakie kwa mjeda!!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…