Natafuta Partner wa kutoka naye siku ya WHITE PARTY!!!!!!!!

Hembu "nipe tigo" yako "nikutumie!"
lakini si tulikubaliana mnitumie ticket ya fastjet! na booking confirmation ya rum!!!!
au yanakushinda!?!?!?!?! makubwa?!?!?!
bora nibaki kwa mjeda wangu ........
cc: Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
Lusile humo utakutana na domo zege tu,
vema nipange kuanzia huko huko utokako.
 
Last edited by a moderator:
mbona unanibania?. umesema tutume application kwa pm nami nikatuma, mbona hunijibu? au ukikaa kimya nijue umekubali?. Lusile usinifanyie hivyo bana!..nijibu pm. mia
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…